Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wasalaam wana JF
Leo nimeona tujadili kidogo tabia za kada mbalimbali kwenye KiUtumishi. Naombe tuanze na kada ya Maafisa rasilimali watu/Utumishi/Tawala.
Majukumu yao makubwa ni kusimamia sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za kiutumishi. Hata hivyo nitataja tabia chache za waheshimiwa hao ambazo hazina mahusiano na majukumu yao ya msingi:
1.Wanapenda kuwa smart muda mwingi kwa mfano hupendekea kuvaa koti, tai, shati la mikono mirefu na suruali safi ya kitambaa. Baadhi yao hupenda kuvaa suti za style ile ya kule China.
2. Huwa wana uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu ya mambo mengi!
3.Ni watu wanaopenda kuzingatia sheria, kanuni na taratibu hata wakiwa kwenye maisha yao ya kawaida
4. Wanapenda kuzungumza with authority!
Karibu tujuzane