RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,424
Kusema Ukweli mie huwa Sinaga Mood kabisa na Hizi Tips and Tricks za Kusave na Kusaidiana zinazoibuka kila mara maana Nyingi naonaga kama Ni za Watu ambao hawakukaa Chini kufikiria ila Walikurupuka Tu
Naona Haka kamtindo kameanza Mdogo Mdogo (52 weeks saving) yaani Kila Week uwe una Deposit kiasi fulani cha Pesa Kwenye Kibubu chako. Na wahanga wengi watakuwa tena wakina Mama.. Kama Michezo ya Vikoba na Kusaidiana
Sijaona Mantiki ya Hii Kitu na Kwangu ni kama Impossible kwa Maisha Yetu haya Ya Kubangaiza Bangaiza. Leo hii mtu anakuambia et kila week weka Kiasi fulani cha Pesa...
Chukulia Mfano kwa week 40 mpk 43 hapo juu haiwezekani mtu kwa week Moja Aingize Tsh laki 400000 halafu week ya pili pia Aingize laki 410000 halafu week ya tatu aingize 420000 na Ya nne Aingize 430000 which makes 1660000 per month.
Hii itawezekana kwa Watu wenye biashara kubwa na Waliofanikiwa Tayari ila kama Wewe ni mfanyakazi wa Serikali wa laki 4-7 per month bado hujalipa Kodi... Madeni.... Watoto..na biashara zetu ndogo ndogo.n.k hii kitu ni Impossible