Ni leo mchana nilikuwa napata lunch kwenye kijiwe kimoja O'bay, ni katurubali flani tunakopatia msosi wa bei poa. Nikakuta wadada watatu nao wanasubiria order yao kwenye meza ya mbele yangu...
Tanzania has set a world record in national immunisation coverage, thanks to the government-backed National Immunisation and Vaccine Programme currently under implementation.
A new report by the...
Mambo 10 Yaliyowakuna Wataalam wa Uchumi IMF Kuhusu Tanzania
Wataalamu wa masuala ya uchumi kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) wakiongozwa na Bw. Mauricio Villafuerte wamekamilisha ziara yao...
Habari,
Miaka nenda rudi walimu huonekana vile vile tangu nilipomuacha akifundisha.mfano miez ya juz hapa nilikwenda marangu kilimanjaro kuzika bibi yangu ambae alikuwa na miaka 112, baada ya...
Habari za asubui ndugu zanguni.
Hii ni mara ya tatu kama sijakosea kwa kuwapoteza wapiganaji wetu huko Mashariki ya Kongo.
Katika hili eneo Kuna hawa maraisi, Paul Kagame, Joseph kabila, Yoweri...
Mheshimiwa Hashim Rungwe Spunda Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu anayepatiwa matibabu Hospitali ya Nairobi nchini Kenya...
Habari wanajamvi nikiwa njiani kwenda tunduma usiku huu nimekuta bus la hood likishika moto na kuteketea lote maeneo ya mlima kitonga hakuna majeruhi wala hasara kwa abilia iliyotokea...
Katika hali ya kushitusha huko serengeti wanawake wanadaiwa kufunga ndoa na wanaume walio kufa na ndoa hizo kuitwa ndoa za Makaburi. walipo hojiwa na azam tv wanawake hao wamekiri kuwa kuna ndoa...
Habari za majukumu wadau wa JF! Natumaini mko poa na mnaendelea kupambana na hali zenu.
Lengo langu ni kutaka kujua nauli ya Dar to Moshi kwa basi ni sh ngapi kwa sasa?
Pia nataka kujua kama kuna...
Ni siku na sasa wiki kadhaa tangu TCRA kutoa masharti kwa wenye ving,amuzi kuwa lazima waonyeshe local TV bure,ila imekuwa tofauti azam hawapendi na wamepuuza utaratibu huo.
Naomba TCRA wachukue...
Katika harakati za kuendelea kuisoma namba,zoezi la bomoa bomoa limehamia mkoani Ruvuma wilaya ya Songea. Nyumba nyingi zimekumbwa ikiwamo benki ya NMB , kanisa jimbo kuu la Songea pamoja na ofisi...
Kwako Mh
Kwa heshima na taadhimaa naamini hunijui kama ujanijua basi mapolisi wako wa zamu juzi Kawe kituoni wamekaa na barua yangu kwako nikitoa malalamiko na kuomba msaada wako.
Binafsi...
Wakuu naomba kuwafikishia swali langu kwenu.
Naomba kujua kwa wale wenye uelewa kwenye masuala ya line za kimataifa.
Kwa mfano ukiwa nje ya Tanzania kama unataka kutumia line za Tanzania kwa...
Mwaka 1998 "Google" walitaka kuiuza kampuni yao kwa "Yahoo" kwa dola Milioni 1 (sawa na Shilingi Bilioni 2) lakini Yahoo wakakataa. Yani Yahoo wakakataa kuinunua Google.
Mwaka 2002 Yahoo...
Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania imewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa Jeshi la wananchi JWTZ.
=>Miili imewasili kupitia ndege ya UN
=>Wanajeshi wamejitanda uwanjani tayari kupokea miili...
Wakuu salama, Kwanza nianze kwa kusema kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na Sikuzote mwenye kisu kikali ndio Atakula nyama.Ivo nayaandika haya Sio kwamba nataka direct support hapana Nataka...