Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Miaka nenda rudi walimu huonekana vile vile tangu nilipomuacha akifundisha.mfano miez ya juz hapa nilikwenda marangu kilimanjaro kuzika bibi yangu ambae alikuwa na miaka 112, baada ya...
11 Reactions
155 Replies
16K Views
Habari za asubui ndugu zanguni. Hii ni mara ya tatu kama sijakosea kwa kuwapoteza wapiganaji wetu huko Mashariki ya Kongo. Katika hili eneo Kuna hawa maraisi, Paul Kagame, Joseph kabila, Yoweri...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Mheshimiwa Hashim Rungwe Spunda Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu anayepatiwa matibabu Hospitali ya Nairobi nchini Kenya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma mahali kwenye mtandao mmoja nchini Kenya wakidai Airtel Tanzania, Airtel Rwanda na Airtell Kenya zitauzwa na sababu kubwa ni hasara.
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari wanajamvi nikiwa njiani kwenda tunduma usiku huu nimekuta bus la hood likishika moto na kuteketea lote maeneo ya mlima kitonga hakuna majeruhi wala hasara kwa abilia iliyotokea...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Katika hali ya kushitusha huko serengeti wanawake wanadaiwa kufunga ndoa na wanaume walio kufa na ndoa hizo kuitwa ndoa za Makaburi. walipo hojiwa na azam tv wanawake hao wamekiri kuwa kuna ndoa...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari za majukumu wadau wa JF! Natumaini mko poa na mnaendelea kupambana na hali zenu. Lengo langu ni kutaka kujua nauli ya Dar to Moshi kwa basi ni sh ngapi kwa sasa? Pia nataka kujua kama kuna...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Ni siku na sasa wiki kadhaa tangu TCRA kutoa masharti kwa wenye ving,amuzi kuwa lazima waonyeshe local TV bure,ila imekuwa tofauti azam hawapendi na wamepuuza utaratibu huo. Naomba TCRA wachukue...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Habari, ninafanya utafiti kidogo naomba ataepita katika uzi huu anisaidie ku-vote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika harakati za kuendelea kuisoma namba,zoezi la bomoa bomoa limehamia mkoani Ruvuma wilaya ya Songea. Nyumba nyingi zimekumbwa ikiwamo benki ya NMB , kanisa jimbo kuu la Songea pamoja na ofisi...
4 Reactions
129 Replies
16K Views
Kwako Mh Kwa heshima na taadhimaa naamini hunijui kama ujanijua basi mapolisi wako wa zamu juzi Kawe kituoni wamekaa na barua yangu kwako nikitoa malalamiko na kuomba msaada wako. Binafsi...
13 Reactions
203 Replies
28K Views
Wakuu naomba kuwafikishia swali langu kwenu. Naomba kujua kwa wale wenye uelewa kwenye masuala ya line za kimataifa. Kwa mfano ukiwa nje ya Tanzania kama unataka kutumia line za Tanzania kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka 1998 "Google" walitaka kuiuza kampuni yao kwa "Yahoo" kwa dola Milioni 1 (sawa na Shilingi Bilioni 2) lakini Yahoo wakakataa. Yani Yahoo wakakataa kuinunua Google. Mwaka 2002 Yahoo...
25 Reactions
32 Replies
4K Views
Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania imewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa Jeshi la wananchi JWTZ. =>Miili imewasili kupitia ndege ya UN =>Wanajeshi wamejitanda uwanjani tayari kupokea miili...
5 Reactions
121 Replies
19K Views
Wakuu salama, Kwanza nianze kwa kusema kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na Sikuzote mwenye kisu kikali ndio Atakula nyama.Ivo nayaandika haya Sio kwamba nataka direct support hapana Nataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Shughuli ya kuaga miili ya askari...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Waswahili tunapenda sana mteremko na kazi ngumu hatutaki, tunapenda vilivyojengwa na wengine, ndo maana wanataka kung'ang'ania Dar ambayo tayari ilishajengwa kwa sehemu kubwa na Muzungu, Waarabu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amesema Serikali ya Indonesia imeonyesha nia ya kushirikiana na uongozi wa mkoa wake kuwekeza katika sekta ya kilimo, biashara na viwanda. Makalla alidokeza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom