Jana line ya tigo kwangu muda mwingi ilikuwa inaandika emergency muda mwingi. Na jioni wakatuma msg kuomba radhi.
Leo line ya voda ipo emergency muda mwingi,mwenye taarifa atujuze nini...
Katika taarifa ya habari ya saa mbili Azam tv wameripoti kuwa huko Njombe kuna binti mdogo amedondoka kutoka kwenye paa la nyumba usiku wa manane.
Inasemekana kijana anayeishi katika nyumba hiyo...
Huwa najiuliza sana, wachawi wanapata faida gani kusumbua watu wengine kwa kuwaloga na hata kuwaua, maana ukiangalia watu wengi wanaotajwa kuwa wachawi iwe mjini ama kijijini maisha yao ni ya...
Direct to the topic
Swala la Elimu Zanzibar lipo chini sana na hili limechangiwa na mambo mengi lakini kubwa kuliko yote ni SIASA. Siasa zilizopo Zanzibar sio nzuri kwa mustakabali wa...
Habari wakuu,
Ni miezi mitatu yangu nimeajiiriwa serikali kama mtumishi wa kituo cha afya stahiki kama substituent allowance nilipata ila ukiisha huu mwezi wa 2 bila mshahara nitakuwa namalizia...
Katibu wa Taasisi ya Jumuiya ya Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, akisindikizwa na askari Magereza kutoka chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.
Mahakama...
Tokea aanze kuhojiwa leo ' Mgeni ' mmoja hivi VIP nchini ( Miss Pedi ) anayewatetea Wasichana wa Shule wapewe taulo za Kike / Pedi / Sodo na Kituo cha Clouds tv hasa Kipindi cha asubuhi cha 360...
Nimekuwa nikiona hichi kitu kwenye graph zinazotokea kwenye report kadhaa za BOT haswa hizi za monthly review. Nilihisi labda kuna siku watabadilika ila naona makosa yale yale yanajirudia.
Issue...
habar zenu
hiv kwanini mabenk mengi ukienda unakuta madirisha ya huduma(tellers) yapo 8 au mengi lakin madirisha mawili tu ndo yana wahudumu
ina maana hizi benk hazna wafanyakazi wa kutosha...
Kwanini tunaendelea kufanya kazi kwa kubembelezana?Serikali hii ya awamu ya tano haina muda wa kubembeleza watu lakini nashindwa kuelewa namna watu wanafanya kazi katika halmashauri hii ya...
UFAFANUZI WA MADAI KWAMBA NHIF IMESITISHA HUDUMA KWA WATOTO NA WATEGEMEZI WA WANACHAMA WAKE
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unakanusha taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya...
Ni vyeo vya namna gani kwa hapa Tanzania ambavyo mtu akifikia hata akistaafu atahudumiwa hadi kufa kwake?
Mimi najua wafuatao:
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Waziri mkuu
4. Rais wa zanzibar
5...
Baraza la viongozi wa dini la kupambana na dawa za kulevya Tanzania, linaunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kupambana na dawa za kulevya
Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
Hawa watu Hadi watubu ndio utakuwa salama ukiwa upande wao. Sasa ona masheikh wetu maskin wanavyoanikwa insta. Ni dhambi kubwa kuchota hela ya wananchi nakuichezeachezea wakati dawa hamna hospital...
Habari wadau..
Kuna mdau amenialika mnada sehemu.. uswahilini, kuna nyumba inauzwa...
Ningependa kujua nini faida na hasara za kununua hizi nyumba? Maana bei zake hazitishi sana kwa kweli..
Kwa...
#FAHAMU Baadhi ya makabila ya Nepal huko kwenye milima ya Himalaya, na baadhi ya maeneo ya India kwenye jamii ya Wahindu wana utamaduni ambao mwanamke huolewa na ndugu wote wa kiume wa familia...
Ukitaka kujua Tanzania miaka 20 ijayo kutakuwa na kugombania rasilimali ya ardhi jaribu kutembea mikoani kwa kuangalia maeneo yaliyokuwa na misitu na vichaka vingi, mikoa kama...
Wako wanaonza maisha kwa kufyeka pori, wako wanaoanzia kwenye shamba lililotayarishwa, na wako wanaoanzia kwa kuvuna mazao yaliyokwishapandwa na wazazi. Wengine wao ndio baba wa mafanikio, wengine...
Habari;
Nianze kwa kuweka kumbukumbu sawa kila mtu anao uwezo wa kufanya uchawi au kuwanga.
Uchawi sio kipaji cha kipekee bali ni uwezo tu ambao ukiuendeleza na kuuendekeza unaweza kuwa very...
Kuna audio moja niliwahi isikiliza ikimwelezea profesa aliyeingia darasana na kuwakuta wanafunzi wake kisha akawambia leo ni siku ya mtihani hivyo wajiandae. Akawapa kila mmoja karatasi nyeupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.