Serengeti: Wafu wanafunga ndoa na wanawake walio hai

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
Katika hali ya kushitusha huko serengeti wanawake wanadaiwa kufunga ndoa na wanaume walio kufa na ndoa hizo kuitwa ndoa za Makaburi. walipo hojiwa na azam tv wanawake hao wamekiri kuwa kuna ndoa za aina hizo amabazo zina wapa mateso makubwa kutokana na wanawake hao kuishi katika mazingira magumu sana . Mmoja ya mzee aliye ozesha binti yake amekili kuwa ndoa hizo zipo japo huwa zinafungwa kwa siri kubwa.

Tanzania tuna safari ndefu ya kukomesha munyanyasa wa kijinsia
 
Mijitu ya hivi viwanda vya nini kwao? Nadhani kipaumbele kiwe elimu, tukielimika viwanda vitakuja
 
Muwekaji wa uzi huu badala ya kuweka chumvi badala yake umeweka pilipili iliyozidi kiwango, mimi ni mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Mara hasa wilaya za Serengeti na Tarime, tangia utoto wangu mpaka utu uzima huu sijawahi kusikia ndoa inayoitwa "NDOA YA MAKABURI" kuna kitu umeambiwa lakini kwenye kufikisha ujumbe kwa hadhira umechanganya either kimakusudi au kutoelewa unachoongelea. Nakuomba kaulize aliyekwambia hili suala akufafanulie vizuri kuliko kukimbilia kufungua uzi kwa jambo la uongo
 
nyie watu sio kabsa, hiyo ndoa mimi nimeisikia kitambo sana. mna mambo ya hovyo sana nyie
 
Wakurya wengi hasa wa kijijin wanamin kupiga sana ni wababe hatari
 
Mijitu ya hivi viwanda vya nini kwao? Nadhani kipaumbele kiwe elimu, tukielimika viwanda vitakuja
Bujibuji, umeongea kweli tupu maana hao hats ukiwajengea viwanda wataviendeshaje?.
Zaidi ya kuwa wanasagwa na machine tu, Mkulu atoe elimu kwanza kwahawa wanyama watu.
 
Muwekaji wa uzi huu badala ya kuweka chumvi badala yake umeweka pilipili iliyozidi kiwango, mimi ni mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Mara hasa wilaya za Serengeti na Tarime, tangia utoto wangu mpaka utu uzima huu sijawahi kusikia ndoa inayoitwa "NDOA YA MAKABURI" kuna kitu umeambiwa lakini kwenye kufikisha ujumbe kwa hadhira umechanganya either kimakusudi au kutoelewa unachoongelea. Nakuomba kaulize aliyekwambia hili suala akufafanulie vizuri kuliko kukimbilia kufungua uzi kwa jambo la uongo
Ukitoka mara Ndio nini Sasa Mwenzio kaleta video Nawewe leta ushahidi wa kutuaminisha kauli Yako.
 
Muwekaji wa uzi huu badala ya kuweka chumvi badala yake umeweka pilipili iliyozidi kiwango, mimi ni mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Mara hasa wilaya za Serengeti na Tarime, tangia utoto wangu mpaka utu uzima huu sijawahi kusikia ndoa inayoitwa "NDOA YA MAKABURI" kuna kitu umeambiwa lakini kwenye kufikisha ujumbe kwa hadhira umechanganya either kimakusudi au kutoelewa unachoongelea. Nakuomba kaulize aliyekwambia hili suala akufafanulie vizuri kuliko kukimbilia kufungua uzi kwa jambo la uongo
sasa nyie wenyeji mnaujua ukweli bado hamtaki kusema acha tugoogle tulishwe matango pori, mkoa wenu una wasomi wengi lakini ukatili ni mkubwa yani nilitegemea ujinga kama huo use kwenye mikoa ambayo iko nyuma kielimu kama kusini lakini nyie ndo kwanza mnamis use elimu zenu kwa jamii mnayotoka yes natumia mis use coz hamtumii elimu yenu kuielimisha jamii yenu
 
Mkoa MZIMA wa Mara unatia fora kwa unyanyasaji wa wanawake. Alafu Akina Heche wanapiga piga siasa badala ya kuelimisha vidume uchwara ktk majimbo yao waachane na unyanyasaji.
ivi unaanzaje kumtaja heche badala ya judge mkuu?
 
Tuachen watu wa mara tuendelee na tamadun zetu, na ujue sio kila mila ni mbaya.
 
Mkoa MZIMA wa Mara unatia fora kwa unyanyasaji wa wanawake. Alafu Akina Heche wanapiga piga siasa badala ya kuelimisha vidume uchwara ktk majimbo yao waachane na unyanyasaji.

Mijitu ya kule ni minyama kweli kweli!
 
Back
Top Bottom