Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa natumia usafiri tofauti kwa safari za binafsi na za kikazi mikoa mbalimbali ya nchi yetu ya Tanzania.Jana nimesafiri na basi la New force lenye namba za usajili T452 DDT toka Dar es...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Kwa hali inayoendelea sasa nchini nachelea kusema UDSM mna kila sababu ya kubeba lawama juu ya uelewa wa masuala ya siasa uliopo nchini. Dhana inayojengwa ya kuwa ukiwa upande fulani wa sarafu...
0 Reactions
5 Replies
896 Views
Wanajamvi hatimae nimerejea tena kwenu kuhusiana na hili swala la ukifanyiwa kitendo na mtu ama mwenzako unajihisi sio poa kabisa Kwa mimi binafsi nikimpigia mtu simu halaf akaikata hua najisikia...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenye Contact details za Tarangire National Park
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Tumeambiwa na Serikali, mvulana au mwanaume ukimpa mimba mwanafunzi wa kike utafungwa miaka 30, lakini mahakama ina ushahidi gani kwamba umehusika?! Je DNA ya mtoto tumboni imetumika na kubainisha...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Wakuu siku ya Alhamisi tar 27/7/2017 ilikua siku mbaya sana kwangu kwani nilipokea barua ya kusimamishwa kazi...sina biashara yoyote na natarajia kufunga ndoa mwezi wa 10 ....naombeni...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Kiukweli mim ni miongoni mwa wahitimu wa fani ualimu ambao nimeitimu miaka miwili iliyopita, kwa hiki kilichojitokeza leo kimeniuzunisha sana na kunikatisha tamaa kama mwalimu mtarajiwa kwani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kuna Taarifa ya uongo sana inayosambazwa na Kada mtifu wa CCM Jerry Muro ambazo ni wongo za Dr. Godwin Mollel Mbunge wa Siha kuwa amejiuzulu. Habari hizi ambazo mwanzilishi wake ni Jerry Muro ni...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Rais Magufuli akemea wasanii wa Tanzania wanaocheza utupu kwenye video za muziki. - Ahoji. “Kwanini uwavulie wengine wasiopenda kutazama uchi?” - Ataka mamlaka kuvichukulia hatua vituo vya TV...
28 Reactions
316 Replies
49K Views
Kauli ya Tundu Lissu Baada ya Kutembelewa na Mwenyekiti Mpya wa BAVICHA Kauli ya Tundu Lissu Baada ya Kutembelewa na Mwenyekiti Mpya wa BAVICHA | MPEKUZI Source: mpekuzi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanza. Upande wa Jamhuri umewasilisha hati ya kiapo kuzuia dhamana ya washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kujihusisha na vitendo vinavyoashiria mapenzi ya jinsia moja na makosa ya kimtandao...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama sauti ya Mungu leo hii ikashuka na kusikikia ikiuliza...'wanangu wapendwa...ni nani mngependa nimrudishe duniani ili aendeleze yale mnayoyataka'. Kwa sauti hiyo na swali hilo la Mungu...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Abdul Mwamafupa, alisema kijana huyo alikuwa na uhusiano wa muda mrefu na Violet Joseph na inadaiwa kuwa alipomfuata na kupanga kumweleza kuwa waoane, alikataa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
MISINGI NA HAKI ZA BINADAMU Haki ni ustahili wa kupata kitu, hivyo mtu ana haki kama mtu hyo anastahili kutenda katika uelekeo Fulani au anastahili kutendewa na watu wengine. Mfano unaposema una...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF Nimeingizwa choo cha kike, muda huu ndio nimewasili Tanga niko hapa mjini CRDB kwenye ATM, kama upo hapa jirani njoo tusalimiane nimepaki Subaru Legacy wagon rangi ya Silver, kuna jamaa...
7 Reactions
96 Replies
8K Views
Habari wana JF, Kuna dada anaitwa Shirima yupo makao makuu pale Dsm ofisi zao zipo pale Kivukoni nyuma ya ghorofa la utumishi. Huyu dada amekuwa mwiba kwa wale ambao wameshindwa kupata mtoto na...
11 Reactions
44 Replies
10K Views
Amani iwe kwenu wakuu. Poleni na majukumu ya kifamilia na yale ya kulitumikia taifa. Napenda kuzungumzia maisha ya mwanadamu yalivyo,SAUTI yake na uhusiano wa sauti yake kwa familia na jamii...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Akitangaza ongezeko hilo kwa waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi huduma kwa wateja, wa mamlaka hiyo, Mussa Ramadhan Haji, alisema mafuta ya dizeli yameshuka kwa Sh. 90 kwa lita kutoka Sh. 2,280...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A man was asked to paint a boat. He brought with him paint and brushes and began to paint the boat a bright red, as the owner asked him. While painting, he noticed that there was a small hole in...
1 Reactions
1 Replies
532 Views
Back
Top Bottom