Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari WanaJamiiForums, Naomba uhusike na somo hapo juu, Nimepata hizi taarifa kwa rafiki yangu EDIMUND RUSHAMBYA mwenye namba ya simu 0757068739 baada ya kunieleza kuwa amepotelewa na mtoto wake...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Hospitali ya Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro imepata ‘ahueni’ katika changamoto ya ukosefu wa mashine za kupumulia wagonjwa, baada ya Chama cha Walimu (CWT) kuliona hilo ni tatizo kubwa na...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Miaka kadhaa iliyopita, mjomba wangu niliyekuwa nikiishi kwake, aliniahidi kulipa gharama zote za chuo, nilikuwa nashughulikia michakato ya kutafuta uwezesho wa kuendelea na masomo, lakini baada...
1 Reactions
6 Replies
892 Views
Wana jamvi amani kwenu. Ninayofuraha kuwataarifu safu mpya ya shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania kama ifuatavyo. Rais: Tumain Nyamhoka~TAGWU Makamu: Qambos M Sule~CWT K/Mkuu:Dr Yahya...
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Serengeti. Mwalimu Yaredi Amosi (27), wa Shule ya Msingi Kitarungu amepandishwa kizimbani leo Jumanne kwa kosa la kumshambulia kwa ngumi na kumsababishia majeraha mwalimu mkuu wa shue hiyo, Thomas...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarii za haumu ndani wanajamvi wenzanguuu Mimi niende mojakwa moja kwenye madaa ninataka niende swiden ,Norway au Denmark wanajamiii forum nimeona nije humu ndanii maana naweza kupata ushaurii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kiwango gani kweli kaya masikini ichangie kuinua uchumi wa viwanda? Kama kuinuka kwa uchumi wa viwanda unategemea kaya masikini, basi Tanzania ingekuwa na viwanda vya kumwaga. Ila swali la...
1 Reactions
5 Replies
987 Views
Moja wapo wa ushahidi ni huu hapa,
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi mtumishi anapoacha kazi au kuachishwa kazi bima ya afya inakoma kutumika baada ya muda gani? Na je kama kaachishwa kazi na ktk mzingira fulani i.e rufaa akarudi kazi anaweza kuendelea na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jambo wanaforum wenzangu leo naona tupeane akili kidogo kuhusu vitu gani hupaswi kufanya ukiwa kama mwanajamii na mgeni katika hio jamiii. Naaanza kwa kusema hupasi kufanya ukaribu wa kupitiliza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nikiwa barabarani tena barabara kuu nimeokea singida kwenda Dodoma nimepita Zebra nikiwa speed 45km/h nikajua nipo safe na ghafla askari kanipiga mkono. wameanza kufuatilia sheria ya kusimama...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana Jf, Nianze kwa kuwapongeza wachungaji, maaskofu na wengine wanojitahidi kueneza neno la Mungu. Baada ya pongezi hizi niende moja kwa moja katika mada. Ni kwa muda mrefu jamii imekuwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajanvi za mda huu? Nisiwachoshe, hivi wale watoto waliolawitiwa sasa hivi si wana umri mkubwa tu? Wana kuanzia miaka 20 na kuendelea maana kwa wale waliokuwa na miaka 6 sasa hivi watakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Polisi wa usalama barabarani leo walizuia mabasi yanayoenda mikoani yapatayo kumi kutokana na ubovu wa magari hayo,nawashauri wasisahau kuyapitia budget ya mbeya,upendo,nganga maan a bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, linamshikilia kijana wa miaka 30 kwa tuhuma za kuwabaka watoto wanne, wawili wa familia moja. Tukio hilo limeripotiwa Desemba 8, mwaka huu, huko Muyuni A...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi Hili nimeliona sana, ma Rais wa bara la Afrika wanapoingia makanisani au msikitini huwa wanaombewa maombi ya Baraka ya kuiongoza nchi na sio maombi ya kukemea shetani na mapepo...
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Inaelezwa kuwa vikosi vya jeshi la Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Congo DRC) licha ya kupoteza wanajeshi wake 14 katika shambulio dhidi ya waasi...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu,namtafuta huyo hapo juu kokote ulipo ludi jf nakusubiri my dada Hilo tu Usiku Mwema
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"Kama hakuna mikutano ya hadhara, RUZUKU kwa vyama vya siasa inaliwa bure".. Habari hii imeindikwa na gazeti la Tanzania Mpya, kurasa ya 10. Je ni kweli au wazo hili linataka kuwapa changamoto...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Wadau kama kichwa kinavyosema hapo juu na naimani nitapata ideas nyingi humu kwa wadau. Nimeajiriwa yapita mwaka sasa baada ya kupita sana JF nikafunguka kuona kwamba ajira ni utumwa hasa ikiwa...
4 Reactions
85 Replies
8K Views
Back
Top Bottom