Dow
Member
- Aug 3, 2017
- 56
- 34
Wakuu salama, Kwanza nianze kwa kusema kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na Sikuzote mwenye kisu kikali ndio Atakula nyama.Ivo nayaandika haya Sio kwamba nataka direct support hapana Nataka Muongozo na Ushauri na Exposure kwa watu waliopita Huku.
Mimi ni kijana wa makamo Around 23s Ni Technian yani Fundi Wa fani fulani Kwa ngazi ya diploma, Yani nina Diploma of engineering , Sikuwa na Nia ya kuingia huku Kwenye mambo ya engineering haswa ukizingatia kwa nchi zetu za Africa engineering bado sana tupo tupo tu.
Nataka nifanye bachelor ya Courses yoyote ambayo itaniwezesha kuwa Kiongozi mzuri sina background nzuri na mambo ya Uongozi since sijawah kushika nafasi za uongozi kabisa shuleni, Target yangu nifanye course ambayo itanipa Mwangaza mzuri wa kuongoza watu Ukitoa political science na Law je nisome course ipi wakuu zangu???
La pili nina ndoto za kusomea abroad iwe Masters au hata hii Bachelo degree sina mpango wa kuishi abroad ila nataka nipate international exposure ambayo itanifikisha ninapo pataka wakuu nipite njia zipi kupata scholarship???
Target yangu kubwa nikurudi jeshi nkifika Miaka 30s je jeshi litanichukua nkifika umri huo? Yani niingie kwenye Millitary afu nitoke na Kuanza kuongoza Nchi yangu kama Top officer wa Sekta yoyote sio kwa masilahi bali nataka ku serve my country!!
Nina General ideas ya mambo mengi nazungumza kingereza na kifaransa kwa level ya kati na nimeanza kujifunza Kispania, Pia nimtumiaji mzuri kabisa wa Computer.
Na nimsomaji sana wa vitabu na Mpaka sasa najitegemea Nipo kwenye kampuni ila inanibana sana na kazi,