Takwimu za maambukizi ya VVU hizi hapa , Iringa na Njombe sio sehemu salama kabisa kucheza peku

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
IMG-20171202-WA0022.jpg
 
Kwa akili za haraka huwezi linganisha kiwango cha elimu ya afya kwa watu wa Mwanza na Njombe.
So ukitazama kama mwanza elimu ya afya imewafikia wengi na bado ina 7.2% then ni jambo la kutisha zaidi.
Watu wa Iringa na njombe wakisogezewa zaidi elimu ya afya hiyo % itashuka kwa kasi zaidi
 
Ila ngoja kwanza..
Hizi takwimu zina walakini.

Look Lindi na Mtwara kwa Geographical location ni kama mkoa mmoja ni kama kusema arusha na manyara...
Now kwa takwimu hizi inawezekanaje Lindi kuwa 0.4 na mtwara kuwa 2.0
 
Kuna jamaa yangu yeye ni kicheche balaa huwa hatumiagi condom ila yupo fresh na huwa anasemaga kuwa sijawahi,wala siwezi kutumia hayo mambo kamwe
 
katavi ya juzi ina 5.9
Nimekaaa sana huko na ndo makazi kwa sasa kuna mimba za utotoni balaa

ngono imekuwa kama desturi yetu yaani kuna wakati natembea na mzee wangu nakutana na watoto wana mimba naanza ona aibu mimi.
 
Ila ngoja kwanza..
Hizi takwimu zina walakini.

Look Lindi na Mtwara kwa Geographical location ni kama mkoa mmoja ni kama kusema arusha na manyara...
Now kwa takwimu hizi inawezekanaje Lindi kuwa 0.4 na mtwara kuwa 2.0
Takwim ziko sawa kabisa. Muingiliano wa watu kwa mfano mjini Mtwara na Masasi kutaja key indicator huwezi kufananisha na Lindi Mjini au Nachingwea kwa maana hiyo. Hivyo ni sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom