celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Ni siku na sasa wiki kadhaa tangu TCRA kutoa masharti kwa wenye ving,amuzi kuwa lazima waonyeshe local TV bure,ila imekuwa tofauti azam hawapendi na wamepuuza utaratibu huo.
Naomba TCRA wachukue hatua stahiki mara moja kwa Azam ambao wamepuuza agizo la Serikali.
Naomba TCRA wachukue hatua stahiki mara moja kwa Azam ambao wamepuuza agizo la Serikali.