Kuna chuo X kipo mkoa flani ni cha ualimu,kinawakata wanachuo hela iliyotolewa na serikali kwa ajili ya kwenda field ili kulipa ada na michango.Wapo wanaokatwa hadi laki moja na nusu kwenye...
Za leo wakuu,
Leo nimekaa sehemu kuwasikiliza wanaume 9 wakimpa pole mwenzao kwa yaliyomkuta.
Uyu mwanaume alikuwa na mali na uwezo na biashara kedekede na nyumba juu, alibahatika kuoa akapata...
Uongozi wa Magereza ya mkoa wa Mbeya umetoa ufafanuzi kuhusu uamuzi wa kumzuia mbunge wa Mikumi, Joseph ‘Profesa Jay’ Haule kuwaona Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi na Katibu wa...
MSD
Sielewi kama ndio gharama za maisha au kuna tatizo mahali.
Kwanza kabisa mnatuambia kuwa kuna dawa mseto za ruzuku lakini tunazikuta zinauzwa bei mara tatu ya bei elekezi na tukilalama...
Wakuu pepo na roho chafu zipo asikudanganye mtu na Jina la Yesu lina nguvu ya ajabu.
Hapa home kuna dada wa kazi, kwa muda mrefu amekuwa na tatizo la wanaume. Ok, kila mtu ana hisia hilo...
Muhubiri wa Rwanda huenda akajapata mashakani mbele ya vyombo vya habari baada ya kuwaita wanawake ''chanzo cha uovu'' katika mahubiri ya redio.
Muhubiri hiyo wa kanisa la Seventh Day Adventist...
,
*Ngoja* *nikufahamishe* ;-
- *Gaddafi* ni mtoto wa 10 katika familia ya watoto 15,
- *Gaddafi* wazazi wake wote waliuliwa kwa vita,
- *Gaddafi* aliwahi kufukuzwa shule akiwa form 2...
Kadri umri wangu unavyo zidi kusogea nina pata mashaka na mchezo wa mieleka ninahisi kama yale mapambano ni maigizo yani wana panga michezo ,wanatengeneza script , ninaomba mwenye taarifa sahihi...
Habari wana JF,
Msaada tutani, ningependa kufahamu kwa hapa Tanzania ni bank gani yenye huduma ya "Wari" inayomuwezesha mteja na asiyemteja kutuma pesa na kupokea kutoka nje ya nchi.
BOA (Bank...
WAFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite na wamiliki wa migodi katika mikoa ya Arusha na Manyara, sasa wamebuni njia haramu ya kukwepa kulipa kodi ya serikali kwa kufanya biashara ya madini hayo...
JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido ya hospitali ambayo alikuwa anawahishwa kwenda kujifungua.
Mtoto huyo aliyeleta...
Katika mtandao wa instagram kuna video clip ya mwanamke ambaye alikuwa akipokea kipigo kikali kutoka kwa watu ambao wanadai kuwa mwanamke huyo baada ya kuingia katika nyumba ya kulala wageni na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatarajii kuona Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC inatangaza wagombea walioshindwa na kuwaacha washindi katika uchaguzi inaoisimamia, maarufu kama ushindi wa bao la...
Nilitaraji maombi ya nguvu yaondoe hali hii, akina Kakobe, Mzee wa upako, Gwajima, ndo kwanza wanalalamika, badala ya kupiga maombi serikali itulie kama maji.Kule Kongo wamemtia askofu mkuu...
Fumbo fumba kwa kapuku,wa hekima aelewa,
Hata kama ala kuku,kapuku hatoelewa,
Ukweli haupo huku,huku sote tumelewa
Ya nini kudanganyana,Ukweli tunauona
Wengi kunguru waoga,mwakimbiza bawa zenu...
Watanzania wamezoeleka kuwa na ukarimu lakin mwisho wake wanaishia kunyongwa na wengine kuishia jela kwa kusaidia watu wenye mzigo wa madawa ya kulevya bila wao kujua.
Nakumbuka niliwai kutana...
Maumuzi yote yanayofanyika Bungeni Dodoma, Wabunge kutoka Zanzibar wanashiriki kujadili na kupiga kura hata kwa mambo yasiyo ya muungano. Kabla hatujajadili kama Rais wa muungano ana mamlaka kwa...
Mwanasheria wa Jeshi la Polisi amesema hakuna sheria inayolazimisha magari kusimama katika vivuko vya pundamilia kama hakuna mtembea kwa miguu anayesubiri kuvuka.
Aidha ameongeza kusema kuwa...
[emoji666]SOMA KWA AJILI MAARIFA YAKO NA VIZAZI VYAKO
1.TABAKA LA JUU.
2. TABAKA LA KATI
3. TABAKA LA CHINI.
Kwa mujibu wa mwanafasafa Carl Marx, katika maandiko yake yeye na mwenzake Friederick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.