Poleni na majukumu wanabodi.
Naomba kushauriwa nifanye nini kwenye hii situation inayonikabili ili niweze kurudi kwenye mstari.
Mimi ni kijana ninayesoma chuo,n a nilibahatika kupata...
*KANUNI UNAZOTAKIWA KUZINGATIA KUHUSU FEDHA*.
KANUNI NO. 1
Kamwe usikope fedha na hasa ya riba kwa ajili ya kuanzishia biashara (isipokuwa kwa mkopo ambao marejesho yake yanatokana na mshahara...
Maduka kadhaa naona yameitikia wito wa kutoa risit za efd,lakini mbona ukinunua vitu vya gharama ya juu wao hukuomba wakukatie risiti yenye gharama ndogo! Mfano unanua meza ya kioo ya Tsh 200,000...
Moja ya njia ya kuwatambua viongozi na muelekeo wao ni kupitia kauli zao. Si mara ya kwanza kumsikia 'mopao' akizungumzia makosa ya ubinafsishaji holela hasa sekta ya mawasiliano. Akitolea mfano...
Mkuu wa wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria wazazi 465 ambao hawajawapeleka watoto wao shuleni tangu walipochaguliwa kujiunga na kidato cha...
Moja ya vitu muhimu katika kujenga ustawi wa shirika lolote lile liwe la umma, binafsi, dogo au kubwa ni uhusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Kwa upande wa mwajiri uhusiano huu unaweza...
Kwa wasiofahamu Bonde la Ngorongoro ambalo leo nii ni hifadhi imekuwa hivyo tangia mwaka 1959 tu, lkn kabla ya hapo lilikuwa ni Mali binafsi ya Settler wa Kijerumani aliyejulikana kama Adolf...
Kampuni ya madini inayomilikiwa na wazawa ya Tanzanite one iliyopo Simanjiro ,mkoani Manyara imeelezwa kuwa hoi kimapato kiasi cha kukatiwa umeme kutokana na deni kubwa kutoka Tanesco na...
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nasikiliza sana nyimbo za Bob Marley bila ya kufahamu maana ya nyimbo na ujumbe wa nyimbo zake kwasababu nilikuwa sijui kingereza..
Leo hii nimeingia kwenye Youtube na...
TAKUKURU Manispaa ya TEMEKE wamewakamata watumishi watatu amabo walijitambulisha kama wafanyakazi ofisi ya Rais, ambapo watumishi hao watatu walipokea Rushwa ya Sh. mil 2 kutoka kwa mfanyabiashara...
Kama tumeanza kufuatilia safari za majaji,basi na tuanze kufuatilia na majumba na vitu vingine vya kifahari wanavyomiliki watumishi wa umma na ambavyo havilingani na mishahara yao yakiwemo magari...
Serikali imewataka watu wanaotumia dawa za kuongeza maumbile kuacha kutumia dawa hizo kwa kuwa madhara yake ni makubwa ikiwemo kusababisha saratani kwa watumiaje wake.
Hayo yamesemwa na Naibu...
Wasalaam wana JF.
Nimekuwa nikifuatilia kujua asili ya utaratibu wa mjane kurithiwa na ndugu wa marehemu mumewe.Nimegundua kuwa utaratibu huu kumbe ni wa miaka mingi sana tokea enzi za nabii...
Dah nimepatwa na shida hapa wakuu, mnamo tarehe 31/01/2018 nilinunua umeme wa Tshs.20,000/- kwa njia ya Mulla *150*78# nilishauriwa na jirani yangu akiniaminisha kuwa wapo faster kuleta majibu...
Nini cha kufanya na hili shirika? Kama vyanzo vya nishati vipo, waziri yupo, n aibu waziri yupo,gesi tunayo ya kutosha, Kukatika umeme ni jambo lililozoeleka sana sasa na ni miaka mingi, shida...
Jana Mkuu ameshangazw na kitendo cha baadhi ya majaji kwenda likizo katika nchi za kifahari kupumzisha akili. Si hilo tu, bali kilichomshangaza ni kutumia gharama zao. Siamini kama Mopao hajui...
*1. Mathayo*
Huyu aliuawa kwa upanga huko Uhabeshi (Ethiopia ya leo) baada ya kuonyesha imani kali dhidi ya Kanisa la Kristo. Alijeruhiwa kwa upanga na kidonda chake hakikupona hadi umauti...
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo
Kwa ndugu zangu Waislamu nanyi pia nawasalimu!
Sote tu familia moja ya JF
Leo tarehe 01/02/2018 nimerejea tena kuwaomba tuzidi kumuombea Rais wetu...
Leo nimetazama kipindi cha malumbano ya hoja ITV.
Mada ilikuwa inasema Je, haki inapatikana kwa wakati mahakamani?
Meza kuu walikuepo / Maaskari kitengo cha (Investigation) upelelezi.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.