Wao wameanzisha Uzi wao ukielezea Vituko vya mwananyamala Mwisho wa siku wamemalizia na Dar nzima kwa ujumla.
Na sisi wa mikoani Tulete vituko na matukio yetu ya Huko,
Kama,ubabe...
The list of bans imposed by Tanzania’s populist president just keeps growing
Abdi Latif Dahir
January 22, 2018
Tanzania’s populist president John Magufuli strode into office in late 2015...
Mdororo wa uchumi ni hatari ndugu zangu.
Nimejulishwa na mmoja wa wafanyakazi wa redio hiyo kutoka huko Kagera kuwa
Redio maarufu iitwayo Bukoba Radio Station (92.5) iliyoko wilaya ya Bukoba...
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Boniface mkazi wa Mwananyamala kwa Msisiri anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa kuiba masanduku ya kuzikia (majeneza) mawili (pichani)...
Habari ndugu, Kheri ya Mwaka mpya, Nilikuwa na ndugu zangu hapa tunarukaruka na kusherekea kuhusu mwaka huu mpya, ila ghafla nikajiwa na wazo kichwani ambalo kiuhalisia limeanza kuniumiza.
Je Mtu...
Wakuu, Habari za majukumu mbali mbali.
Kama unamfahamu huyu jamaa njoo inbox kuna ujumbe wake wa muhimu ili uweze kumfikishia.
Kuna mahali amesahau kitambulisho chake cha Uraia wa Tanzania Bara...
BAADHI ya majirani na polisi wa Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar, wameibuka na kudai kuwa kutokana mtaro uliopo kituoni hapo kufumuka na kutoa maji machafu ya chooni yakiambatana na...
Nmejitathmini maisha yangu na jinsi nilivyo busy kutafuta ugali nimegundua dhambi niliyonayo ni 1 tu ya uzinifu ila zingine sina kabisa.
Nashauri na nyie wakuu mjitathmini, kuna uwezekano...
KAMANDA WA POLISI MKOA WA GEITA, MPONJOLI LOTSON.
MJANE mkazi wa kijiji cha Kamhanga, wilaya na mkoa wa Geita amefariki dunia baada ya kukatwakatwa na panga kichwani na mwanaye usiku na kisha...
Kwenye taarifa za habari za ITV za saa mbili usiku, Jumatatu (22/01/2018) kulikuwa na habari za kugundulika kiwanda cha nyavu HARAMU za UVUVI huko Arusha.
Kwanza nitoe pongezi kwa mafanikio ya...
Why do people distrust atheists?
A recent study we conducted, led by psychologist Will Gervais, found widespread and extreme moral prejudice against atheists around the world. Across all...
Katika siku zijazo kuanzia sasa hadi tarehe 7 Februari Mwezi utakuwa jirani na Sayari tanzo tunazoweza kuziona kwa macho moja kwa moja. (Angalia picha ya anga ya alfajiri iliyoambtishwa)
- Mwezi...
Hatari kama tangu umezaliwa hujawahi kujifanyia tathmini wewe mwenyewe kusubiri mpaka watu waone mapungufu yako wakwambie ndio ubadirike huu ni uvivu wa kufikiri kiwango cha lami.We ukiamka ni...
Kama Rais wetu pamoja na Serikali yake wakifanikisha kutuingizia zaidi ya 2000 MW za Umeme kwenye Gridi yetu ya Taifa, basi kama wakipenda na kukubali kuendelea kuongoza baada ya 2025 na iwe...
Wakuu natumai mko salama.
katika Tafakuri yangu nimekuwa najaribu kupita kwenye kumbukumbu zangu na matukio ya Nchi hii na watu wake.
nikarudi mpaka miaka ya 1980. Kulikuwa na shirika la chakula...
UKOSEFU WA DARAJA CHANIKA - MGEULE.
Imani yangu ni Kwamba kero hizi tunazoziweka humu hupata ufumbuzi wake ili kuwatoa watch Kwenye adha hizi.
Ukifika CHANIKA Buyuni kuna Mtaa unaitwa Mgeule...
Mpaka hivi sasa imepita miaka ………tangu nchi yetu ilipoanzisha rasmi vita dhidi ya ukimwi na hivyo kuanzishwa kwa taasisi maalum inayoendelea navita hiyo Kupitia mikakati na program mbalimbali hii...
Serikali ya Israel na Tanzania zimesaini mkataba wa makubaliano wa mwaka mmoja wa ujenzi wa kitengo cha matibabu ya dharura pamoja na tiba ya magonjwa ya mifupa katika hospitali ya Benjamini Mkaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.