DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,201
Leo nimetazama kipindi cha malumbano ya hoja ITV.
Mada ilikuwa inasema Je, haki inapatikana kwa wakati mahakamani?
Meza kuu walikuepo / Maaskari kitengo cha (Investigation) upelelezi.
Pia walikuepo mawakili wa kujitegemea/ na Msajili wa mahakama Tanzania.
Cha ajabu baada ya kulumbana kwa Fact kilichotekea kila mtu alikuwa anatetea upande wake na kusema upande wake hauna tatizo yaani kiufupi kila mtu alikuwa anatetea ugali wake na wala siyo wananchi.
Watanzania asilimia kubwa ni wasakatonge, very sad.