Kampuni ya uzalishaji dhahabu ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 (kuanzia tarehe 1 Septemba hadi 31 Disemba) mwaka ikionyesha uzalishaji dhahabu...
Wananchi wa miji ya Shinyanga na Kahama wamekosa maji kwa siku 7 baada ya TANESCO kukata umeme kwenye mtambo wa kusukuma maji uliopo Ziwa Victoria.
Hii ni kutokana na deni la zaidi ya Sh...
Wana JF kwakweli nimeshindwa kuelewa kwanini website ya ofisi kubwa kama Secretarieti ya ajira ktk utumishi wa uma kutopatikana tangu wiki iliyopita. Sijui sababu ni nini lakini kwa taasisi kubwa...
Habari wakuu?nahitaji msaada wa mwenye mawasiliano ya kumpata direct mkurugenzi mkuu wa mfuko wa GEPF, nasumbuliwa stahiki zangu bila sababu ya msingi kwa mwenye nayo naomba ani pm
Nimesoma Gazeti la leo la Tanzania Daima, ISSN 08569762 Toleo namba 4709 la Januari 24,2018. Kichwa cha Habari ''Magufuli apata mtihani mzito''
Nimeisoma habari yote nikitafuta uthibitisho wa...
Habari wapendwa
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali wakati ninapotumia google map ila bado sijapata jibu na ukizingatia picha z sattelite zimepigwa mchana kweupe....kwa mwenye uwelewa naomba anijuze
MSAADA WA MUHIMU SANA UNAHITAJIKA
Ndugu zangu heshima iwe kwenu,
Ninachotaka kuwaelezeni hapa ni stori ndefu kidogo kuhusu maisha ya mama mmoja niliyekutana naye huko Serengeti nilipokuwa huko...
Habari za leo waungwana?
Sala na salam zangu ziwashukie kina mama wote duniani, wenye kujua hasa maana ya nomino yenyewe MAMA na wenye kuitendea haki nomino hiyo kama ambavyo chapisho hili...
Habari zenu wanajamvi?
Kuna kitu cha kushangaza sana katika ulimwengu huu uliopotoka, hata pale unapotaka kufanya jambo lako, wakati fulani unalazimika kufanya maamuzi wew kama wewe bila...
Naomba nieleweke hapa namaanisha ndoa (tukio la kiimani) siyo sherehe!
Ukisoma bibilia na vitabu vitakatifu utaona neno lililotumika "AKAMJUA" hii inatafsiliwa kwamba "akamuoa".
Hivyo basi...
Heshima zenu Wakuu, Karibuni ktk Makala hii fupi Kuhusu huyu Kiumbe.
Mamba ni miongoni Mwa Viumbe hatari Zaidi kwa maisha ya Binadamu, Mamba ameorodheshwa miongoni Mwa Viumbe 10 hatari kwa maisha...
Ndipo tulipofikia, maisha yetu yameguwa magumu na kubahatisha mpaka makampuni ya "kubeti" yametengeneza pesa sana kushinda makampuni yote TZ. Yamelipa kodi zaidi kuliko hata makampuni ya simu...
Habari wakuu..
Siku moja Mwishoni mwa mwaka Jana kama kawaida nilitoka zangu kwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku mara nyingi huwa nnakawaida muda wa kurudi nikitoka job huwa napitia bar...
Kuna haja ya serikali kumchunguza nabii Titto kama inavyomchunguza Askofu Kakobe ili kubaini kama pombe anazokunywa hadharani kila kukicha anazinunua kwa fedha za sadaka au ana chanzo kingine cha...
Kwa msisitizo na malengo madhubuti ya urusi ya kutaka kumaliza vikundi vya waasi na kukomesha mashambulizi ambayo hufanywa na marekani na washirika wake urusi imeamua kupeleka mitambo ya kisasa...
Wale wa kuingia na kutoka Tabata tafuteni njia mbadala kwa muda huu maana tairi za train zimehama na kusababisha train kuziba barabara ya kuelekea Tabata.
Mkazi mmoja wa mkoa wa Mwanza amefariki dunia baada ya kuigonga ndege ya FastJet iliyokuwa ikiruka katika uwanja wa ndege wa Mwanza kuelekea Dar es salaam.
Akizungumza na Mwananchi leo Januari...
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe limetoa masaa 72 kwa watendaji 37 kutoka katika kata 15 wawe wamewasilisha kiasi cha milioni 73 walichokusanya kama mapato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.