Uwiiii....Nimetapeliwa Na Kampuni Ya "Mulla!"

Uwiiii....Nimetapeliwa Na Kampuni Ya "Mulla!"

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Dah nimepatwa na shida hapa wakuu, mnamo tarehe 31/01/2018 nilinunua umeme wa Tshs.20,000/- kwa njia ya Mulla *150*78# nilishauriwa na jirani yangu akiniaminisha kuwa wapo faster kuleta majibu, lakini ni baada ya kununua kwa njia ya mpesa, nakupata majibu 'mpesa haipatikani' sasa nimekuwa nikipiga simu hizi:

Name: Delphina Mulla
Mobile: 0411205000

Na

Name: Mulla
Mobile: 0755400006


Ya Juu, Inanita tu na haipokelewi, na hiyo ya chini anapokea dada mmoja anakuambia ngoja acheki lakini halafu anakata simu, pia kila ukipiga simu ndo majibu hayo na akijua ni wewe ndo unapiga mara kwa mara anakukatia simu..Naombeni msaada wenu......

Nichukue hatua zipi kuhusu hili swala?
 
Back
Top Bottom