Wabunge Wekeni Hoja Muijadili Tanesco

Wabunge Wekeni Hoja Muijadili Tanesco

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
312
Reaction score
247
Nini cha kufanya na hili shirika? Kama vyanzo vya nishati vipo, waziri yupo, n aibu waziri yupo,gesi tunayo ya kutosha, Kukatika umeme ni jambo lililozoeleka sana sasa na ni miaka mingi, shida ipo wapi?

Ni wazi uchumi wa nchi unadumazwa sana na shirika
Ni wakati wa kutafuta mbadala wa shirika, mbona RTC, NMC, TRC, nk ziliondoshwa? haipendezi wanakata umeme mfano asubuhi hii Bila taarifa na haijulikani kama ni saa ngapi utarudishwa, kazi zinasimama hasara, hasara
Tunaomba msaada wenu wabunge.
 
Acha makelele umeme hauna faida kwa wananchi wanyonge
 
Back
Top Bottom