Pilocarpine
Member
- Jan 28, 2018
- 27
- 27
Poleni na majukumu wanabodi.
Naomba kushauriwa nifanye nini kwenye hii situation inayonikabili ili niweze kurudi kwenye mstari.
Mimi ni kijana ninayesoma chuo,n a nilibahatika kupata mkopo,ijapokuwa kwenye ada naongeza kiasi fulani cha fedha.Mwaka jana nilijiingiza kwenye biashara hizi za market networking bila ya kujua kiundani kuwa nilikuwa naenda kupoteza fedha na muda.Nilikuwa natumia fedha zangu za kujikimu,kwa kutarajia nitapata faida,mambo yalikuwa ndivyo sivyo na nilivyotarajia.
Baada ya kupata hasara hiyo nilianza kutumia hadi hela ya ada ambayo nilikuwa napewa ili niweze kuishi chuoni kwani hela ya kujikimu nilikuwa tayari nimeshaipoteza.
Kuna wanafunzi nilikuwa nawasikia wakisema kuwa michezo ya bahati nasibu inawapa pesa,hasa kwa upande wa kubashiri matokeo ya mpira.nilianza na mimi kujiingiza huko kwenye hiyo michezo kwa kutegemea ningepata fedha ili niweze kurecover,ile niliyoipoteza.nilianza tena kupoteza fedha nyingi kuliko kile ambacho nashinda na hali ikazidi kuwa mbaya zaidi,ila nikawa naamini ipo siku nitashinda na nitamaliza shida zangu,ila hilo halijatimia mpaka leo.nilikuwa hadi natumia hela ya kulipa kodi ili nikabet,ili nitengeneze profit.
Nakiri kabisa kuwa hapa nilipotea(niliangua),ila naamini naweza kunyanyuka nikarudi kupiga shule na nikatimiza ndoto zangu.mwaka huu nimeanza kwa kuclear madeni yote ya mwaka jana kwenye ada na mengineyo.
Inaniwia vigumu sana kuwashirikisha home,kwani kwanza naogopa kupoteza faith,na pia nawapa mzigo ambao hawastaili ambao umetokana na uzembe wangu.
Kwa sasa nimeachana na hayo mambo na nimeweza kujibana na kulipa kodi ambayo nilikuwa nadaiwa na pia ada ya mwaka jana,ila tatizo linakuja kwenye ada ya semister hii nimeshindwa kuipata.
Nilikuwa na wazo la kukopa sehemu laki nne,na niache cheti changu cha o-level kwani sina amana yoyote ya kuweza kukopeshwa kiasi hicho,na nitailipa hiyo hela nusunusu kwenye installments za semister ya pili kwani itakuwa rahisi kidogo ila hili wazo langu halijafanikiwa.
Napenda sana sana nisome nimalize chuo ila tatizo ndo hili tu linalonisumbua.
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini ili niweze kubring back my education life kwenye njia bora?
Updates___
Wakuu nimewaeleza nyumbani ila jibu nililopewa sio zuri.
Nimepata sehemu ya kukopa ambayo ni kampuni ila inabidi uache cheti chako cha olevel.
Je kuacha cheti sehemu kama hii ni sahii wakuu?