Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jinsi mnavyoongoza magari asubuhi kuanzia Mbagala mpaka Posta na jioni kutokea posta/Kariakoo kwa hakika mnastahili pongezi!Keep it up
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sioni sababu ya kwanini nipongezwe siku ya kuzaliwa. Kwani nimefanya nini kustahili pongezi? wazazi wangu na Mungu ndio walitenda muujiza. Nilizaliwa bila hata kujua, leo hii mnanipongeza kwa...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
DODOSO LA MGENI: JE, VITABU VYA BIBLIA NA QURAN NI MAONO AU KAZI YA FASIHI? UTANGULIZI: Makala haya hayana lengo au nia ya kuhubiri dini yoyote bali ni chambuzi na mawazo binafsi hivyo yasitumike...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwanangu Masunga Maduhu utamaliza chuo kikuu mwaka kesho. Kumbuka jumla ya ada na matumuzi mengine katika elimu yako ni tsh milion 16,800,000/= . Utakapopata kazi ya ualimu, utapata Mshahara wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuwen na huruma, wazazi wanatoa hela zao wanazotafuta kwa shida, nyie mnawakalisha watoto 4 kwenye dawati moja, sasa kuna tofauti gani na kayumba, watoto 7o /80 kwa darasa moja, sasa mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za wikiendi? Naomba kujua kwa wanaojua,kampuni ipi hutoa travel insurance kwa mtu anayetaka kusafiri abroad kwa mwezi mmoja. Gharama zake zikoje? Asante ni sana!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bonjour, Hey guys nina imani mnaendelea vyema na juhudi za kusaka maisha kivyovyote vile(mpaka kieleweke). Leo nimekuja na hoja hiyo hapo juu kwa wale wenye uzoefu.Unaweka jina la mkoa...
4 Reactions
86 Replies
20K Views
Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambacho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..! Kadri temperature inavyo ongezeka chura...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Miji wa Kigoma ujiji hauna huduma ya maji kwa siku tano sasa baada ya mamlaka ya maji safi na taka kukatiwa umeme na hivyo mamlaka hiyo kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi hali ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huwezi kuwa msomi au hata kama siyo msomi ukakubali kutukanwa na wewe unafurahia yale matusi na kushabikia basi lazima utakuwa punguani fulani wa akili kichwani. Mtanzania yeyote anamyemshabikia...
15 Reactions
207 Replies
13K Views
Na Florian Kaiza HUENDA ni jambo lisiloingia akilini kwa hali ya kawaida, pale mwenendo uonekanao ni dhambi kwa Mungu, kutetewa na mtu atambuliwaye na wengi ni Mcha-Mungu! Hata hivyo, kwa mujibu...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Naomba kuuliza kuhusu ujenzi Wa stand ya mkoa pale mbezi Luis uliishia wapi? Mipango yooote ilikuwa ni bure? Naomba wahusika ambao ni jiji waje hapa watwambie.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
JF Naipenda sana ndio maana nimeamua kuanza Eng. Cz, maana mara utasikia umeme wa Stigliers, FOREX n.k watu wanachanganya Lugha humu ndani si Mchezo hii ishu ya FOREX ndo imenipa hasira zaidi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Embu jaribu kuchunguza then uje ulete mrejesho.. Gari nyingi zinazochomekea ovyo barabarani huwa zimeshapata majanga tayari...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Mungu ni mwema niko na afya na mwenye nguvu, nakusalimuni nyote popote mlipo, amani iwe nanyi. Naona mdogo mdogo watu wameanza kustuka kuhusu hizi dini, kwamba michango imekuwa mzigo makanisani...
15 Reactions
128 Replies
11K Views
Ni ukweli mtupu tunajidhalilisha wenyewe 1.Tunaweka nywele (mawigi) ili tufanane na wazungu kwa nini tusidharaulike? 2.Tunaweka mikorogo (kujichubua) ili tufanane na wazungu kwanini...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Wana JF leo nimeshuhudia usafi kabambe unafanyika pale jengo la NHC Mtaa wa Samora. Jengo zuri maridhawa kabisa lakini limejengwa kwa vioo na kuna floor za vioo zinatazama barabarani. Kwanza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom