Msaada: Rangi nzuri za Bati

Msaada: Rangi nzuri za Bati

Unknown

Senior Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
164
Reaction score
102
Wakuu, naomba kujua rangi gani ni nzuri za Bati kwa ajili ya kupaua, japo nafahamu uzuri wa kitu kipo machoni mwa mtu.
 
Hiyo maroon ni bora zaidi, bati lenye rangi hii halionyeshi mpauko wake mapema.
 
Black ndio habari ya mujini mengine tupa kule
 
Hakuna rangi mbaya duniani, Rangi zote ni nzuri kinachotakiwa kila mtu anachagua inayomvutia machoni pake! Ni sawa na kuuliza " Mke mzuri ni yupi!...
 
Back
Top Bottom