Mambo vipi wadau.
Wadau vipi kuhusu hii fani ya ufundi wa water pump je kwa mazingira ya sasa inahitajiwa?
Vijana wote mliomaliza vyuo na hamjapata ajira nawakumbusha kuwa kuna university inaitwa...
Poleni kwa kazi!!
Mimi naomba mnifahamishe Kuhusu kozi ya AUTOCAD.
Je ukisoma AUTOCAD utafanya kazi gani?
Je kozi hii inakupa fursa za kujiajiri? Au kuajiriwa?
Je ushindane upoje kwa sasa kwa...
wakuu.
msione waokota makopo mkadharau mwaka huu wamewashinda kipato wakulima wa mbaazi maana mbaazi kilo moja tsh.300 huku makopo ya maji yaliyotumika ni tsh.1500.
kwa hiyo msiwadharau kabisa...
Jeshi la polisi Mkoani Morogoro linamsaka mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mwita Marwa (30) kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mpenzi wake Kibua Adam (39) baada...
Kulizuka hofu Jana mkoani manyara Mara baada ya tukio la kutekwa kwa mwanafunzi wa chuo cha uhasibu mkoani hapo,ambapo polisi walikuja kutoa taarifa kuwa tukio hilo,lilikua ni sehemu ya mazoezi...
Jana nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Kahama kwa kutumia basi Mali ya (.......)....e bhana alipanda bwana mmoja ni kipisi cha mtu jitu kweli miraba nadhani kama nane hivi.
Ana bonge la...
Watu watano wamenusurika kifo baada ya nyumba wanayoishi kuteketea kwa moto.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Januari 25,2018 eneo la Mitondooni wilayani Magharibi B, Unguja...
MWANAFUNZI wa kike mwenye umri wa miaka 14 ameuawa kikatili baada ya kubakwa kwa zamu na mwendesha pikipiki maarufu ‘bodaboda’ kisha akachomwa kisu ubavuni na sehemu zake za siri kunyofolewa...
Shule hii ya Ihungo iliathiriwa na tetemeko mwaka 2016 na serikali kupitia TBA waliamua kuijenga upya na ilipaswa kukamilisha Mei 2017 ili July ipokee wanafunzi wa kidato Cha tano, shule...
Natarajia kutembelea London/Liverpool in the near future. I can be accommodated in hotel/apartment but I do prefer to be accommodate with any Tanzanian who has accommodation in those two...
Pamoja na mambo mengine yote, naamini pia TCRA wana jukumu la kuhakikisha TV zinaonyesha/ kurusha vipindi vyenye kuzingatia maadili ya mtanzania.
Mara kadhaa nimeshuhudia clouds tv...
Dar es Salaam. Upande wa mashtaka katika kesi ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo na kutakatisha fedha inayomkabili, Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange, umeieleza...
Rais John Magufuli amemkaribisha Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe kutembelea nchini.
Dkt Magufuli ametoa mwaliko huo leo Alhamisi Januari 25, 2018 alipoagana na Balozi wa Zimbabwe nchini...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema Serikali itaandaa mpango wa matibabu kwa kutumia kadi ya bima ya afya, kwa wakazi wa Dar, katika Hospitali zote za umma, Mwananchi ambaye...
Habari zenu ndugu zangu
Niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu... ni kuhusu kinywaji cha (aina ya) soda ambacho wataalamu wengi wa afya (kama sio wote) wamekifafanua sana kwamba ni hatari kwa...
Huu mwaka Natabir vijana wengi tutapata magonjwa ya akil ...Huu ugonjwa wa akil utatokana na njaa kubwa itayowakabir vijana wanaoishi mjini kwa kukosa milo mitatu na stress za mapenz.
Wazee wengi...
Naomba nitoe ombi langu kwa serikali hii ya Tz .
Kuwa iwatazame waajiriwa wa serikali kwa mtazamo tofaut kuhusu maadili ya waajiriwa... ili waruhusiwe na wenyewe kuvaa Pensi kwa upande wa wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.