Nina uhakika kabisa kila Wazungu (maglobalist) wanavyojaribu kumgombanisha D.Trump na sisi Waafrika ndivyo Waafrika tunavyozidi kumkubali, kwa mfano ile kauli ya ,,shithole" kama ni kweli aliisema...
TAKUKURU imeiambia Mahakama ya Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha (USD 375,418) inayomkabili aliekua Rais wa TFF Jamal Malinzi, Katibu Mkuu Selestine Mwesigwa na Muhasibu Msiande...
Mkoa wa Kagera baada ya serikali kutenda haki katika mitiani siku hizi Kagera imerudi tena katika elimu huku mji wa Bukoba ukiendelea kutoa Tz one cheki ilivyokuwa mwaka huu
Ufuatao ni ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko wa siku ya 52 ya Upashanaji wa habari duniani 2018, alioutoa tarehe 24 Januari. Siku ya Upashanaji wa habari uadhimishwa kila mwaka katika maadhimisho...
Mashine hiyo ya uchunguzi wa mwili wa mwanadamu CT Scan (Computerized Tomography Scan) inatarajiwa kuzinduliwa kesho ijumaa Januari 26,2018 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
Tanzania: Magufuli's Policies Risk Growth - - IMF
allafrica.com
Jan 25, 2018 11:11 AM
The International Monetary Fund is worried that Tanzania's economic growth could be clouded by growing...
Hiki kituo cha mwendokasi kimara baruti kimekua kero sana kwa sisi watumiaji wa kituo hiki! kila siku mnakosa chenchi! hasa vihamsini vyetu! yani mnaweza msubiri watu wanne mpaka sita eti mpaka...
JESHI la Polisi mkoani Dodoma limesema bado linashauriana na vyombo vingine juu ya hatua za kumchukulia mkazi wa Mtaa wa Ng'ong'ona katika Manispaa ya Dodoma, Onesmo Machibya anayejiita 'Nabii...
Wasalaam wandugu.
Nikipitia mitandao nimekutana na andiko kutoka kwa Yeriko akimtetea anayejiita Nabii Tito.
Yeriko amenukuu kifungu cha katiba kinachotoa uhuru wa kuabudu. Alichojaribu...
mpooo!
Hebu anayejua hili kwa undani anieleweshe. Nasikia mheshimiwa Rais wetu JPM ametoa maelekezo kuwa kuanzia mwaka mpya huu wa fedha 2017/18 ofisi zote za serikali zitalindwa na hawa vijana...
USHAURI WANGU KWA WIZARA YA ELIMU.
Kwa kuwa ni kweli kabisa kuwa kuna uhaba Waalimu katika shule nyingi msingi ukilinganisha na za sekondari ambazo nyingi zina ziada ya Waalimu hususani wa...
Kuna watu ikipita siku, saa, dakika au hata sekunde bila kuwasha data wanajihisi kama wanahisi kufa hivi.
Wengi wa watu wa namna hii ni watu ambao intaneti inawaendesha na baada ya kuitumia wao...
Ndo tuseme Mungu hajatupa uwezo wa kuunda wala kung'amua? Wala kutengeneza kwetu? Mpaka tufikie hatua ya kuita ulaya 'mbele' na kukimbilia huko kila kukicha huku tukiacha madini ya kila aina...
Kaya 20 zimekosa mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo pamoja na madarasa mawili katika shule ya msingi Kilawalawa katika kijiji cha Lyangweni kata ya Litapwasi wilayani songea...
Wakuu poleni na shughuli za kutwa!
Nimeshtushwa sana baada ya kukuta mashine ya kutolea pesa maarufu kama ATM Machine tawi la NMB hapa Korogwe imekojolewa!
Nimetokea Lushoto. Sasa baada ya...
Wadau, shule zilipofunguliwa mtoto ambae mimi ni mlezi wake aliniomba pesa ili apeleke shuleni kwa ajili ya kununua mahindi na sukari kwa ajili ya uji shuleni, angalau watulize njaa na kuendelea...
Ukiwa na hela katika Nchi za kiafrica basi utaishi vizuri sana
Hasa hapa kwetu Tz
Rafiki hela atakufanya
[emoji117]Uheshimike kwa wakubwa na wadogo
[emoji117]Rafiki hela atakufanya umiliki...
Nimetumia jina wanyonge kwa kuwa ndio jina tunaloitwa na kujiona linatufaa. Watanzania wanyonge.
Mwaka uliopita tukakumbwa na tetemeko la ardhi Bukoba, majeraha hayajapona bado kuna wanyonge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.