Ack
Member
- Dec 21, 2016
- 88
- 87
Kwa msisitizo na malengo madhubuti ya urusi ya kutaka kumaliza vikundi vya waasi na kukomesha mashambulizi ambayo hufanywa na marekani na washirika wake urusi imeamua kupeleka mitambo ya kisasa kabisa ya kulinda anga kwenye maeneo maalumu sasa sijui kama marekani atavumilia kukaa syria maana kashaona ameshindwa mbaya zaidi na mkorea kamkalia kooni
Hizi ni mitambo maalumu za kulinda anga alizopeleka syria
PART 1:
PART 2:
Hizi ni mitambo maalumu za kulinda anga alizopeleka syria
PART 1:
PART 2: