Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,465
Habari zenu wanajamvi?
Kuna kitu cha kushangaza sana katika ulimwengu huu uliopotoka, hata pale unapotaka kufanya jambo lako, wakati fulani unalazimika kufanya maamuzi wew kama wewe bila kuangalia mtu au jamii.
MAAJABU SASA
Kwa wadadisi wa mambo hawatapingana na mimi, hii imetokea karibu kila seem, pale unapokuwa umeajiriwa na kufanya kazi miaka mingi katika sekta hiyo hiyo na kuonekana mzoefu, mara nyingi bosi na walimwengu watakuona huna pa kwenda, yani wewe ni mtumwa, usieweza kujiongoza, huwezi kuishi bila hiyo kazi, bila huyo bosi, huwezi kutoka kwa sababu huna mbinu nyingine, hata akukere vipi utavumilia tu, kama ni mjanja mbona upo hapo muda mrefu tu? Kwanini huondoki? Kwanini hutoki kivyako?
JIONGEZE SASA
Huu ni mwiba kwa mabosi waliozoea kukuona kazini, mchangamfu, mchapa kazi na mwenye bidii 7bu nguvu na bidii yako ni faida kwake, siku utakapotoka au kutangaza kuacha kazi.
BOSI NA WALIMWENGU
mh…… [emoji33][emoji33][emoji15][emoji15] kwanini unaacha kazi? Una shida gani kubwa? nimekukosea? (watu sasa) mbona pazuri tu hapo, usiache kazi bhana… kuacha kazi pale ni ujinga, baada ya kushindwa kabisa kukushawishi kurudi kazini, kutokana na kuona umuhimu wako wataishia kusema, YULE mjinga KADANGANYWA SIO BURE, KUNA KITU ITAKUWA KAGUNDUA, AU KAPATA KAZI SEEM INGINE
Kipi muhimu hapo[emoji121]️?
1)kufanya kazi ukionekana mjinga na mtumwa?
2)kujiwekea malengo na kujiongeza na bado ukaonekana mjinga umedanganywa kuacha kazi?