Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Habari wakuu..
Siku moja Mwishoni mwa mwaka Jana kama kawaida nilitoka zangu kwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku mara nyingi huwa nnakawaida muda wa kurudi nikitoka job huwa napitia bar napiga mbili tatu za kupatia usingizi kisha narudi nyumbani.
Nakumbuka ilikua ijumaa moja hivi,nikiwa nimelala,mkewangu alishuhudia mambo haya yafuatayo.(mkewangu ni mtu wa kusali sana)
Hapa Nyumbani nna mtoto mmoja mdogo ambae naishi nae lakin pia nilizaa nje mtoto mmoja,watoto wangu wote ni wakiume..sikuhiyo usiku wife kwa jinsi alivyo ni hadithia anasema aliona Mwanga mkali sana dilishana kisha baada ya muda akaona watu wawili wako ndani ya chumba wakiwa wamebeba mtoto,wale watu walisongelea kitanda tulicholala wakamchukua yule mtoto waliombeba wakamlaza kitandani jirani na huyu mwanangu mwingine,wife anasema livyomuangalia vizuri yule mtoto aligundua ni yule mtoto wangu wa nje,wife aliwai akachukua kichupa cha maji ya Baraka akawanyunyuzia watoto,(maji huwa tunalala nayo kitandani)alivyotaka kuninyunyuzia na Mimi anasema yale maji yakawa kama vile yameganda na yeye hapo hapo nguvu zikamuishia akawa anawaona tu Banacakawa hana nguvu mwili mzima..
Anasema mmoja kati yao alipanda mgongoni kwangu nililala kifudifudi basi akawa anaruka ruka na mwingine alikua na chupa mbili za soda zenye vimiminika ndani vitu kama maji akawa anajaribu kuwamwagia Yale maji kwenye chupa watoto,anasema kwa bahati nzuri zile chupa ilikua kila akitaka kuwamwaga maji zile chupa zikawa kama zinataka kugongana hivyo akawa anashindwa,baada ya kujaribu kwa muda ilishindikana kabisa akamwambia mwenzake kwamba "imeshindikana watoto wameshamwagiwa vitu"(yale maji ya baraka)basi baada ya kushindwa kwa watoto wakaamia kwangu walizilaza zile chupa kunimwagia,anasema mwanzoni zikawa zinafanya kama kwa watoto baadae ziligongana na zikapasuka na Yale maji yakani mwagikia usoni, baada ya kamaliza walimchukua mtoto kisha akaona Mwanza mkali dirishani na wale watu wakawa wamepotea.baada ya muda wife alipata nguvu akaniamsha na kweli nilikuta mgongo unauma kweli.
Sasa tangu sikuhiyo nmekua sina amani mambo yangu yamekua hayaendi sawa kabisa mikosi
Inananiandama kila mahali kila nnachokipanga hakitimii.
Nilimuelezea mshikaji mmoja akanambia Yale maji ni maji ya maiti hivyo niende kwa mganga,kiukweli Mimi hizo imani za waganga sinaga kabisa..
Naombeni msaada wenu wadau,
*Jokes aside*