Je, ni kweli babu Seya na wanawe wanalelewa na Serikali?

Je, ni kweli babu Seya na wanawe wanalelewa na Serikali?

mwakweya70

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
414
Reaction score
106
Nimesoma Gazeti la leo la Tanzania Daima, ISSN 08569762 Toleo namba 4709 la Januari 24,2018. Kichwa cha Habari ''Magufuli apata mtihani mzito''

Nimeisoma habari yote nikitafuta uthibitisho wa hojaji za kiuandishi kuonyesha kwamba hawa wana muziki wanalelewa na serikali. Lakini majibu ya Mzee King kikii kwa waandishi wa gazeti hilo anasema, wanamuziki hawa wapo katika maandalizi ya kutoa kazi zao. Na hata anaposema wapo chini ya uangalizi wa serikali, kwa kina ukisoma huoni kivipi?.

Je, ama ndo masuala ya kisiasa na je kichwa cha habari kikubwa cheusi na kumtaja mkuu wa nchi kuwa amepata mtihani ni mtihani gani? Hebu tusaidiane, maana siasa hizi nahisi zinatusahaulisha mambo muhimu ya maendeleo ya wananchi.Naomba kuongezewa vielelezo,kwamba je ni kweli madai hayo,tumwagiane vielelezo na mazingira wana nzengo.
 
Nimesoma Gazeti la leo la Tanzania Daima,ISSN 08569762 Toleo namba 4709 la Januari 24,2018.
Kichwa cha Habari ''Magufuli apata mtihani mzito''
Nimeisoma habari yote nikitafuta uthibitisho wa hojaji za kiuandishi kuonyesha kwamba hawa wana muziki wanalelewa na serikali.Lakini majibu ya Mzee King kikii kwa waandishi wa gazeti hilo anasema,wanamuziki hawa wapo katika maandalizi ya kutoa kazi zao.Na hata anaposema wapo chini ya uangalizi wa serikali,kwa kina ukisoma huoni kivipi?.

Je ama ndo masuala ya kisiasa?na je kichwa cha habari kikubwa cheusi na kumtaja mkuu wa nchi kuwa amepata mtihani ni mtihani gani?hebu tusaidiane,maana siasa hizi nahisi zinatusahaulisha mambo muhimu ya maendeleo ya wananchi.Naomba kuongezewa vielelezo,kwamba je ni kweli madai hayo,tumwagiane vielelezo na mazingira wana nzengo.
Kama wanakaribishwa ikulu na kupiga picha na raisi, wanaalikwa kwenye sherehe za kitaifa kwa mfano mapinduzi zanzibar unadhani kuna kitu hakiwezekani kwa Serikali hii
 
Niko kijiweni naganga njaa Babu Seya akapita anaendeshwa ndani ya Range.

Inaonekana ana ndugu, jamaa na marafiki wenye uwezo sana.

Anyways, jela kubaya kuna mmoja alidai ye ni ***** asingeweza kumega halafu vipimo vinasema jamaa mzima.

Kids stay in school.
 
Serikali ni mimi Na wewe
Bongo,serikali ni kakikundi kadogo kalikopewa dhamana ya kuvuna na kutumia rasilimali za nchi yetu pamoja na Kodi tunayolipa kwa masilahi yetu Ila sasa kakikundi haka kameamua kuzibaka rasilimali hizo na sasa wamekodi wabakaji na walawiti ili wafanikishe maovu yao.Mimi simo humolabda wewe.
 
Niko kijiweni naganga njaa Babu Seya akapita anaendeshwa ndani ya Range.

Inaonekana ana ndugu, jamaa na marafiki wenye uwezo sana.

Anyways, jela kubaya kuna mmoja alidai ye ni ***** asingeweza kumega halafu vipimo vinasema jamaa mzima.

Kids stay in school.
Huu utetezi unaconclude kwamba hawa jamaa walilawiti na kubaka.
 
Mh.Rais anao uwezo kikatiba kumsmehe mfungwa yoyote yule.
Mahakama ndiyo yenye uwezo wa kutambuwa mtu ana kosa au hana kosa
Hivyo ni vitu viwili tofauti,pamoja na Mh.Rais kumsamehe Babu Seya haimanishi hana makosa,muhimu tuendelee kumpa USHIRIKIANO mkubwa Rais wetu na tuielewe katiba yetu na kuiheshimu.
 
Back
Top Bottom