Inawezekana foleni haisogei kabisaaa hapa aromaItakuwa balaa baadae maana bado lipo
Asante tajiri wa maneno, mi kiswahili ni lugha ya pili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante kwa taarifa lakini una umaskini wa maneno. Badala ya kusema imepata ajali, ungesema imepata mushkeli na kuhama njia. Sasa hapo kuna ajali gani?