gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 962
Wana JF kwakweli nimeshindwa kuelewa kwanini website ya ofisi kubwa kama Secretarieti ya ajira ktk utumishi wa uma kutopatikana tangu wiki iliyopita. Sijui sababu ni nini lakini kwa taasisi kubwa kama hiyo ni aibu website kutopatikana kwa wiki sasa.
update
Kumbe ni browser ninayotumia ndio inakataa kufungua hiyo website, nikitumia nyingine inafunguka vzr
update
Kumbe ni browser ninayotumia ndio inakataa kufungua hiyo website, nikitumia nyingine inafunguka vzr