Wadau,
Kuna haya maduka ya kubadilusha fedha za kigeni yaitwayo Sanya, nimegundua baadhi ya wafanyakazi wake sio waaminifu. Nawashauri muwe makini kuhesabu fedha zenu kabla hujabadilisha na baada...
Salam wakuu.
Nahitaji kupokea kijimzigo kidogo toka China. Niko Musoma. Ni kampuni gani nzuri kwa kunifikishia hapa?
Na kama iko link yao naomba nipatiwe tafadhari.
Natanguliza shukrani
Najiuliza tu kutokana na jinsi ambavyo mfumo unajitahidi kudhibiti upashanaji wa habari. Baada ya mafanikio ya kudhibiti radio, TV na magazeti pia aina nyingine za media kama blogs. Je wataweza...
Nimekuwa nikifuatilia ' Conferences ' nyingi sana za Viongozi mbalimbali wa nchi duniani kupitia katika Runinga au Mitandaoni na nikawa nafanya ' kautafiti ' kangu tu binafsi hasa kama hiyo '...
Hii stand ifanyiwe utaratibu wa kuhamishwa haraka maana hiatoshi na wala haina sifa za kupewa hadhi ya Stand Kuu kulingana na wakati.Ikitokea bahati mbaya magari 10 yakakutana kwa pamoja stand...
Leo asubuhi nimefuatwa na kijana ananiambia kuna mganga anauza kuku wake ambao huletewa na wateja
nimejiuliza maswali mengi sana bila ya majibu
Hawa Kuku si wameshazindikwa?
Itakuaje ukiwala...
Maria Sarungi Tsehai
#ChangeTanzania, Kwanza TV, Compass Communications, all in #Tanzania
Kuwa kama maji!
Mabadiliko siku zote hutujaza na hofu hata kama hatutaitambua au kukiri na hii ni kwa...
Huwa sielewi mambo yafuatayo;
1. Mara nyingi walinzi wanatutolea macho tukiwa tunaongea na simu na hata muna makatazo juu ya matumizi ya simu (kuongea)ukiwa ndani ya benki....lakini bado unaweza...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa Jeshi letu la Polisi nchini, Japo Nabii Huwa Hakubaliki Nyumbani, Lakini Jeshi Letu La Polisi Sasa ni Jeshi sikivu lenye kutenda wema kama Malaika Usikute...
Wale wanywaji kama mimi, yale mapromosheni ya bia sikuhizi siyaoni, na hata bia za promotion hazipo kwanini?!
Hizi ndio nyakati wazilete promotion lakini wao nao ndio wamekata kwanini?!
Vyuma...
Habari ya asubuhi wananzengo,nina binti yangu almost 4yrs alizaliwa akiwa na matatizo ya kiganja cha mkono kimepinda,nimempeleka baadhi ya hospitali imeshindikana ila baadhi ya waungwana...
Kumeibuka wimbi kubwa la wezi wanaotumia dawa za kupumbaza Na kisha unaibiwa.
Wengi wameibiwa pesa Na vitu vyao vya thamani.
Je ni jinsi gani twaweza kujikinga Na wezi wa jinsi hii?
mshana jr...
Siku chache baada ya kifo cha ndugu yao na Waziri wa Elimu, Professor Joyce Ndalichako kuahidi kumsomesha mdogo wake marehemu anayesoma kidato cha tatu, familia imewasilisha ombi jingine...
Kumbe mtoto mwenyewe hata hakuiba, kamchoma moto mikononi kwa style ya kutisha na mateso makali mno! Kwanza kamvingirisha mifuko laini ya plastiki mikononi, kisha ile mikono akaisweka kwenye jiko...
Habari wakuu,
Mtu unamuuliza HR anakwambia request ziko online subiri ziwe approved ndo upewe check no. Yamenishinda tangia mwezi wa 11 kitu ni hichohicho bora kuresign tu kazi sio serikali ni...
Habari wana jf.
Natumaini ni wazima wa afya.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Biashara ya utumwa ni biashara inayohusiana na kuuza na kununuwa binadamu sokoni kama bidhaa nyingine.
Kuna...
Leo mitaa ya buswelu manispaa ya ilemela kulikuwa na zoezi la kukaguzi wa leseni za biashara. Zoezi hili liliambatana na ufungaji makufuli kwenye frem za maduka zilizokutwa zomefungwa. Sasa...
Wadau nisaidieni hi naona ni tofauti na facebook ambayo ukijisajili unaweza ukawaona ndugu, rafik ambao umesoma nao tangu darasa la kwanza.
Kiukweli fb ni mkombozi wa jamaa na ndugu mliopoteana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.