Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo linaadhimisha miaka 52 ya kuanzishwa kwake kwa kufanya usafi sehemu mbalimbali nchini. Nipo Mwanza nimezunguka maeneo ya Pansiasi, Kirumba...
10 Reactions
218 Replies
32K Views
Habari zenu, Nilikuwa napenda kuuliza kama Smile na TTCL zimefika Sumbawanga na kama zimefika je speed yake internet ipoje? Coz hivi sasa Halotel ameshapoteza dira na hakuna mtandao cheap zaidi ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Zenu wakuu. Kama hali inavyo ji eleza hapa Tanzania nime patwa na wazo la kwenda south Africa kutafuta maisha kwa upande wa taaluma o level na pia ni dereva kwa hiyo nataka nikifika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, mimi na majirani zangu tunaoishi jirani ya chuo hiki tunakero moja ambayo ilishakua sugu ambayo nihiyo ya chuo cha ualimu korogwe kufungulia chemba za choo pindi mvua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hizi channels wakuu huwa naziona kila channel ina studio yake kama inavyopaswa jee hizi channel kila moja studio yake ziko wapi? Star e+=Studio yake ipo mkoa gani?? Star bunge= Studio yake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mvua kubwa ikiambatana na Upepo mkali iliyonyesha usiku wa jana mkoani Tabora imesababisha madhara makubwa kwa baadhi ya nyumba ikiwemo Shule ya Msingi Kanyenye ambayo paa lake lote limeezuliwa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau, Kuna haya maduka ya kubadilusha fedha za kigeni yaitwayo Sanya, nimegundua baadhi ya wafanyakazi wake sio waaminifu. Nawashauri muwe makini kuhesabu fedha zenu kabla hujabadilisha na baada...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Salam wakuu. Nahitaji kupokea kijimzigo kidogo toka China. Niko Musoma. Ni kampuni gani nzuri kwa kunifikishia hapa? Na kama iko link yao naomba nipatiwe tafadhari. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Najiuliza tu kutokana na jinsi ambavyo mfumo unajitahidi kudhibiti upashanaji wa habari. Baada ya mafanikio ya kudhibiti radio, TV na magazeti pia aina nyingine za media kama blogs. Je wataweza...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika siku za karibuni nashindwa kabisa kumuelewa huyu jamaa post zake Instagram.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia ' Conferences ' nyingi sana za Viongozi mbalimbali wa nchi duniani kupitia katika Runinga au Mitandaoni na nikawa nafanya ' kautafiti ' kangu tu binafsi hasa kama hiyo '...
15 Reactions
78 Replies
7K Views
Hii stand ifanyiwe utaratibu wa kuhamishwa haraka maana hiatoshi na wala haina sifa za kupewa hadhi ya Stand Kuu kulingana na wakati.Ikitokea bahati mbaya magari 10 yakakutana kwa pamoja stand...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Leo asubuhi nimefuatwa na kijana ananiambia kuna mganga anauza kuku wake ambao huletewa na wateja nimejiuliza maswali mengi sana bila ya majibu Hawa Kuku si wameshazindikwa? Itakuaje ukiwala...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maria Sarungi Tsehai #ChangeTanzania, Kwanza TV, Compass Communications, all in #Tanzania Kuwa kama maji! Mabadiliko siku zote hutujaza na hofu hata kama hatutaitambua au kukiri na hii ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Huwa sielewi mambo yafuatayo; 1. Mara nyingi walinzi wanatutolea macho tukiwa tunaongea na simu na hata muna makatazo juu ya matumizi ya simu (kuongea)ukiwa ndani ya benki....lakini bado unaweza...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa Jeshi letu la Polisi nchini, Japo Nabii Huwa Hakubaliki Nyumbani, Lakini Jeshi Letu La Polisi Sasa ni Jeshi sikivu lenye kutenda wema kama Malaika Usikute...
23 Reactions
147 Replies
12K Views
Wale wanywaji kama mimi, yale mapromosheni ya bia sikuhizi siyaoni, na hata bia za promotion hazipo kwanini?! Hizi ndio nyakati wazilete promotion lakini wao nao ndio wamekata kwanini?! Vyuma...
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Habari ya asubuhi wananzengo,nina binti yangu almost 4yrs alizaliwa akiwa na matatizo ya kiganja cha mkono kimepinda,nimempeleka baadhi ya hospitali imeshindikana ila baadhi ya waungwana...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kumeibuka wimbi kubwa la wezi wanaotumia dawa za kupumbaza Na kisha unaibiwa. Wengi wameibiwa pesa Na vitu vyao vya thamani. Je ni jinsi gani twaweza kujikinga Na wezi wa jinsi hii? mshana jr...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Siku chache baada ya kifo cha ndugu yao na Waziri wa Elimu, Professor Joyce Ndalichako kuahidi kumsomesha mdogo wake marehemu anayesoma kidato cha tatu, familia imewasilisha ombi jingine...
4 Reactions
77 Replies
9K Views
Back
Top Bottom