Kuku wanaopelekwa kwa Waganga

Kuku wanaopelekwa kwa Waganga

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Leo asubuhi nimefuatwa na kijana ananiambia kuna mganga anauza kuku wake ambao huletewa na wateja

nimejiuliza maswali mengi sana bila ya majibu

  1. Hawa Kuku si wameshazindikwa?
  2. Itakuaje ukiwala?
  3. nilidhani huchinjwa kwa kafara kumbe ni kamtaji ka mganga
  4. kumbe imani hii ipo bado?
 
Back
Top Bottom