Leo mitaa ya buswelu manispaa ya ilemela kulikuwa na zoezi la kukaguzi wa leseni za biashara. Zoezi hili liliambatana na ufungaji makufuli kwenye frem za maduka zilizokutwa zomefungwa. Sasa najiuliza mwenye nyumba kakosa mpangaji wewe unapiga kufuli maana yake nini?
Wapo walioamua kufunga biadhara kwa muda wajipange upya wewe unaenda kufungia bidhaa ndani maana yake nini?
Mambo haya ya kipuuzi hayapo musoma geita shinyanga wala kahama. Ni Mwanza tu kuna shida gani? Kadhia hii imekuja sikumoja baada ya jpm kusitisha ubomoaji wa makazi ya watu ilemela au hili agizo limeukera uongozi wa jiji hili? Isijekuta walikuwa wameshavita kabisa posho za mafuta ya tingatinga!
Lazima tujue ujinga wowote utakaofanywa na serikali anae wajibika kwa wananchi na atakae beba dhahama yote ni ccm. Wakati mama mabula unakauka koo kuomba kura jukwaani afisa biashara wala mgambo wa jiji hakuwepo kwanini wakuharibie? Hebu stuka na chukua hatua. Kazi yako nzuri isivurugwe na wapuuzi wachache.
Kila mtaa una mwenyekiti wa mtaa kwanini asipite na mtendaji wake wakague leseni na kupeleka taarifa badala ya kutumia mgambo wa jiji kukimbizana na machinga?