Mwenye mawasiliano ya hospitali ya Burere

Mwenye mawasiliano ya hospitali ya Burere

mnangagwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
1,007
Reaction score
1,510
Habari ya asubuhi wananzengo,nina binti yangu almost 4yrs alizaliwa akiwa na matatizo ya kiganja cha mkono kimepinda,nimempeleka baadhi ya hospitali imeshindikana ila baadhi ya waungwana wamenishauri nimpeleke kwa Dr bake wa burere hospital,naomba wale wenye nanba ya simu au maelekezo kuhusu hospitali hii tasavali naomba msaada wenu.
 
Hospital ipo mkoa wa Pwani, maeneo ya Kibaha kwa mathias.

Sijajua unatokea wapi na unatumia usafiri gani ila kama unapanda daladala shukia kituo kinaitwa Msikitini au kwa mathias.

ukifika chukua boda boda mpaka hospital ni buku tu.
 
shukrani
 
Nenda Mkoa wa Pwani - Kibaha, kituo cha Kibaha kwa Mathias ulizia hapo watakupeleka
 
Kabla ya kufika kwa Dr. Bake, umeshawahi kumpeleka CCBRT Mikocheni. Hao ni Professionals wa kazi hiyo na wana vifaa vya kisasa.
 
Back
Top Bottom