flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Hii stand ifanyiwe utaratibu wa kuhamishwa haraka maana hiatoshi na wala haina sifa za kupewa hadhi ya Stand Kuu kulingana na wakati.Ikitokea bahati mbaya magari 10 yakakutana kwa pamoja stand inajaa na kufanya magari mengine yashindwe kuingia na kusababisha foleni kama za jijini.Bashe yupo bize na kupiga pambio kwa Mtulia na kupambana na mwajiri wake huku ahadi zake za kuihamisha stand kwa kushirikiana na halmashauri zikiendelea kuwa hewa.