Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii kampuni huwa inanitumia msg za kubet kila siku yaani hadi zinafika sita. Juzi jumatatu mke wangu alikuwa na shida ya hela fulani, na kwa kweli kwa wakati ule nilikuwa sina, nikamwahidi hadi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani kuna tetesi nimezipata toka kwa rafiki yangu aliyeko jijini Mwanza kwamba kuna wimbi la utekaji wa watu. Nasema ni tetesi na sijajua vyema kama kuna ukweli au la. Ila nilisikia Clouds kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa jamaa hii ni mara ya 3 sasa,..ndo nmeingia hapa nyumban najiandaa niwatch news,naona holaa,nikwel muda umekwisha ,ila sasa hata locals sizioni jaman,hata Tbc,last times had nilipowapigia ndo...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Naandika haya nikiwa na uhakika Wa baadhi ya mambo ambayo nimeyashuhudia Mimi mwenyewe nikiwa mwanafunzi Wa shule hizi za kata. Mwaka 2010 nilimaliza kidato cha nne katika shule mojawapo ya kata...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Tanzania sasa tukiongea demokrasia kwa viongozi wetu ni tatizo kubwa inasekana,,,,, haswa ila sina uhakika kama kweli demokrasia haipo kama wengine wanavyosema, kwa kipindi kigumu cha vyuma kukaza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana bodi Najua wote mnatumia huduma zakibenki hapa nchini,hivyo tutoe frusa hapa kutoa kero/maoni yako,kero unayokutana nayo katika benki husika, hili wahusika waweze kutambua katika maeneo yao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwanini tunafeli kwenye matangazo ya biashara tangazo linapiga kelele mpaka unaichukia tv yako mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezeni ubunifu na sio kupiga makelele tu kuna...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili swali ni tata sana huwa najiuliza kila kukicha,hivi ni kweli mpka leo hii mungu huendelea na kazi ya uumbaji si kweli na sidhani kama anaendelea umba,nadhani uumbaji wake wa kwanza hauhusiani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naleta Huu uzi kwenu ndugu zangu nikiwa na uchungu mkubwa mno. Naweza kuthibitisha pasi na Shaka kuwa Police wa Tanzania ni maalumu kwa kulinda wanasisa wa chama tawala na kuonea wapinzani basi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92, kulingana na utafiti...
0 Reactions
5 Replies
848 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kwa Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Sweden na Nigeria kutilia mkazo Sera ya Diplomasia ya...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
"It is designed to be a superyacht tender. Until now, superyacht owners arrive at the dock aboard their 30-foot tender limos and then have to use Maybach or Rolls-Royce to get around town. The SLT...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa wenzetu sijui nani kawadanganya . Wao hujiona ni wa kipekee sana. Wakati mwingine hujiona wako juu ya sheria. Liko tatizo kubwa sana kwa hawa jamaa. Nadhani umefika wakati sasa wa kupitia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mpango huu uliwekwa mpaka ukatengewa bajeti na jiji kwenye bajeti take ya 2017/2018. Na tulihakikishiwa ujenzi ungeanza July 2017, lakini mpaka sasa hamna kitu. Wenye taarifa kuhusu huu ujenzi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajf.. Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu) Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na...
22 Reactions
107 Replies
7K Views
Jana nilikua naangalia kipindi cha yule nabii anajiita bilionea. Ikafika muda wa ushuhuda akaja kijana mmoja anasema yeye alikua msaidizi wa mganga na ameua watu 32 wakati anaombewa akawa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wenu, Mashine ipi ni nzuri ya kuuzia umeme kati ya Maxcom na Selcom. Kuzingatia gharama yake, kushika kwa mtandao na faida wanayotoa. Ahsanteni.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Tutake tusitake, Dola ndiyo ishaamuwa, Serikali inahamia Dodoma. TBC inarusha hivi vipindi, tutazame, tuchukulie kama ni fursa nyingine nchini, Dodoma bado kubichi, bikra, ni sisi kwenda kutusua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu napita Usa river hapa toka Nairobi to Dar, Kuna vita kali kati ya boda boda na polisi,. Bodaboda zaidi ya 100 wanafukuza gari la polisi. Mlioko Usa river tupeni taarifa kamili. Polisi...
14 Reactions
39 Replies
5K Views
Ikiwa umebaki mwaka mmoja tu (2019) serikali kupitia wizara ya elimu kuanza kutekeleza sera mpya ya elimu kwa wanafunzi wa shule ya msingi kuanza kuishia darasa la sita na kuendelea na elimu ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom