Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari zenu,Natafuta kazi nje ya Nchi hususani Dubai,Abudhabi,Kuwait,Bakhrain Mimi ni dereva ninauzoefu na kazi yangu nimejaribu kutumia Maagent hapa Dar Lakini wamenitapeli sitaki hata...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada. Huku mtaani kwetu kuna dada mmoja aliokota embe chini ya mnazi. Katika kudanga kwake na maisha alipata bahati ya kukutana na mtu ambaye si raia wa...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Moshi mororo wa sigara Stimu ya kuvuta sigara Inavyompendeza Tukubali tusikubali ina ukweli utabaki pale pale. Wanaovuta sigara /msuba/ sigara kubwa au shisha wana mapenzi ya dhati sana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
DAR: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imezifuta kesi mbili zinazowakabili wakurugezi watendaji wa kampuni ya ENCC Consultants, Riziki Shemdoe na Deusdedit Kibassa wa Abshir Gure na Farhiya Warsame...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Naomba kujuzwa nini chanzo cha samaki? Kambale kwenye bwawa au dimbwi la maji ambalo hapo awali halikua na samaki na sijawahi kufuga samaki hapo hata siku moja na hili bwawa lina mtindo wa...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited, Sharon Sauwa ameitwa na Maafisa wa Polisi ambao inadaiwa kuwa wamesafiri kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda Dodoma kwa ajili ya kumhoji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matukio mengi yanakuja na kupita, wanasema huwezi kujifunza mambo yajayo bila kujifunza kwa yaliyopita. Hadi sasa kuna matukio, majanga, dhuluma, matamko, breaking news ambazo zilishika headline...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna watakaosema kwamba huwezi kumpangia mtu matumizi ya fedha zake, lakini sio vibaya sote tukajadili kuona faida ya kitendo kulingana na gharama zilizotumika. Bado Mgonjwa wetu Bwn , Lisu akiwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha ili kukodi magari zaidi baada ya idadi ya watu wanaotaka kusafiri...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imejikuta matatani baada ya wadau, maofisa wa benki na viongozi wa dini kuhoji uhalali wa mamlaka hiyo kuweka hadharani taarifa za fedha za Kanisa...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Serikali imeonesha kushitushwa na bajeti ya Milioni 80 iliyotolewa na familia ya marehmu Akwelina kwa ajili ya mazishi ya mpendwa wao Akwelina. Msemaji wa familia hiyo,Festo kavishe amesema mara...
2 Reactions
59 Replies
11K Views
Askofu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza, amesema amani ni jambo linalopaswa kuhubiriwa na vyama vya siasa na taasisi za dini. Amesema kwamba hawezi kusema viongozi wa...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Facts 50 Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo. 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono yake huwa imetulia...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Maafisa wa forodha nchini Kenya wamemkamata mwanamume anayedaiwa kuwa raia wa Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi akisafirisha dhahabu ya thamani ya dola milioni...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Mwalimu wa shule ya Msingi Duthumi wilayani Morogoro Respicius Salehe (46) amemuua mke wake, Scrinda Andrew (42) kwa kumjeruhi na kitu chenye ncha kali kichwani na baadaye naye kujiua kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kilio hiki naomba nikifikishe kwa waziri mkuu na waziri wa Ardhi Mh. Lukuvi. Sisi ni taasisi na baadhi ya wananchi tulioko eneo la Makuyuni Mkoa wa Arusha wenye viwanja vilivyopitiwa na msongo wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nhif wamekua wakitangaza Na kuvutia kweli kweli watu wajiunge Na mfuko wao,lakini shida inakuja kwenye gharama yako kubwa ambayo mtanzania wa kawaida tu ni ngumu kuimudu! Wanadai ukitaka kadi kwa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Inashangaza sana! Wengi wanaopenda kuvuta sigara huwa ni wachafu sana.Mbaya zaidi mkute mtu anayevuta sigara na kunywa pombe hasa 'Konyagi'! Watu hawa hutoa harufu kali sana mwili (kwenye nguo)...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Haikuwa mkoa wa Mara au mkoa wa Shinyanga mikoa ambayo ina record ya matukio ya kinyama hasa matukio ya mauaji kwa vikongwe na albino Mikoa ambayo ukiishi huwezi kukosa story za matukio ya...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Juma Bhalo alizaliwa 1942 huko Shela katika wilaya ya Malindi. Mwaka1954, alijiunga na shule ya msingi ya Sir Ali bin Salim , wakati huohuo familia yake ilihakikisha anahudhuria Madrassa ili...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom