flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Najiuliza tu kutokana na jinsi ambavyo mfumo unajitahidi kudhibiti upashanaji wa habari. Baada ya mafanikio ya kudhibiti radio, TV na magazeti pia aina nyingine za media kama blogs. Je wataweza kudhibiti mitandao ya kijamii?
Na kama wakishindwa hawatatumia mbinu nyingine kama kudhibiti uingizwaji wa simu janja/smartphones au kupandisha ushuru wa simu hizo? Nawaza kwa maandishi tu huku nikisubiri mawazo mengine. Naona kuna reverse ya hatari kuelekea miaka ya 70[emoji849]