Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,197
- 2,025
Habari wana jf.
Natumaini ni wazima wa afya.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Biashara ya utumwa ni biashara inayohusiana na kuuza na kununuwa binadamu sokoni kama bidhaa nyingine.
Kuna maandiko mbalimbali ya kihistoria yanaelezea biashara ya utumwa barani Afrika huku muendeshaji mkuu wa biashara hiyo walikuwa ni wageni(waarabu na wazungu)From outside of Afrika.Hii ni biashara ambayo si kupoteza utu wa mwafrika lakini ilidumaza maendeleo ya Bara la Afrika.
Richa ya kushamiri kwa bishara hii ya utumwa ndani ya Afrika lakini ilikuwa abolished mwaka 1873. Lakini kuna ukweli ambao hausemwi au wana historia wanajaribu kuuficha kuhusu biashara hii ya utumwa.
Je ni kweli biashara ya utumwa ililetwa na waarabu na wazungu?
Hili ni swali ambalo tunatakiwa kuifanyia uchunguzi na kulipatia majibu.
Kuna baadhi ya maandiko yanasema kuwa biashara ya utumwa iikuwepo karne nyingi sana kabla ya kuja kwa wageni kutoka nje ya Afrika. Unapojaribu kusoma kuhusu Ngoni Migration utagunduwa kuna vitu vingi sana vimeficha kuhusu historia hii ya Wangoni hadi kuja Tanzania.
Mfano wangoni walipigana vita mbalimbali dhidi ya makabila wapinzani lakini walipokuwa wanawashinda waliwakamata mateka na kuwachukuwa utumwani(only fittest shall rule). Lakini historia haisemi kuwa kuna utumwa ulikuwepo kabla ya kuja kwa wakoloni.
Hawa ni baadhi ya watumwa walichukuliwa na Waafrika wenzao.
Wana historia kuna faida gani kuficha hii historia ya utumwa kabla ya kuja kwa wakoloni,Je kwanini tuwalaumu wageni kwa kuendesha biashara hii wakati wa Afrika wenyewe walichukuana utumwani.
Naomba kuwasilisha