Serikali kupitia Naibu waziri wa habari na utamaduni na michezo Juliana Shonza imetangaza kumfungia miezi 6 Msanii wa filamu na muziki, Suzan Michael maarufu Pretty Kind kwa kuweka picha za utupu...
2-3 minutes
During a 7-day special operation, the police force also intercepted two Ethiopian nationals for illegal entry in the country. They were identified as Fuoub Banege and Abush Kebebe...
Sumatra,
Ni sahihi wananchi walio ndani ya Jiji (hardly 10 Kilometres) kulipa nauli ya shilingi 1000/=? Hivyo ndivyo tunavyokamuliwa wananchi tunaoishi Buza Kanisani na kufanya kazi au biashara...
Watu wengi hujikuta amefeli Interview kwa kuto kujua ni maswali gani atakayokwenda kuulizwa, wengi huwaza kuwa ataulizwa maswali ambayo yanaangukia kwenye somo lake au kozi ya aliyosomea tu...
"Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
Kwa sasa watoto wengi sana, hawalelewi na wazazi wao hata kama wanaishi nyumba moja.
changamoto za maisha zinawanyima wazazi Muda wa malezi ya watoto wao.
hivyo...
Mahakama ya Rufaa imesema Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) anapowasilisha hati kuzuia dhamana kwa washtakiwa kwa kukidhi matakwa ya kisheria mahakama inakuwa imefungwa mikono.
Uamuzi huo umetolewa...
Kuna machungu watanzania tunapitia na imenikumbusha ‘fact’ moja inayowatofautisha mtu mwenye cheo kama cha uraisi na mtu wa kawaida.
Kwa muda mrefu nimewaza hivi Rais mfano wa Marekani anaweza...
Viongozi wengi waliouwawa huko Kibiti na Ikwiriri na Mkulanga wengi walikuwa ni viongozi wa CCM wa serikali za mitaa zaidi ya 30 na kwa juhudi za Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi na...
Pamoja na kupingwa sana uamuzi wa Serikali kuwapa kazi zote za serikali TBA, sasa madudu ya kutisha yanajitokeza.
Tukumbuke kuwa TBA Tanzania Buildings Agency, ni wakala wa nyumba za serikali...
Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta amethibitisha taarifa za kifo cha Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Juma Kasailo
Chanzo: Mwananchi
Kwa regulations za Banking, disclosure ya contents za aksunti ya mteja ni kosa.
Pamoja na kufanya uchunguzi TRA wamevunja principle kubwa ya customer confidentiality.
Kuna Principle insitwa...
Police Force TZ @tanpol 7h7 hours ago
Hospitali ya Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Hospitali ya macho( International Eye Hospital ) inaendesha kliniki ya matibabu ya macho bure inayofanyika...
Habari!
Hii haionyeshi hali nzuri, Rais wa nchi ambaye huwa anajinadi kukipigia debe kiswahili katika anga za kimataifa, yeye ndio yuko mstari wa mbele kutokukitumia kwa ufasaha.
Rejea hotuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.