Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

jamani kuna mtu anatokea LINDI kwa kina salma ameniambia kuwa mama salma kikwete na hawa ghasia ni ndugu ....yaani mtu na dada yake au kitu kama hicho.. nikajiuliza pamoja na kuwa si kosa ndugu...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Kutokana na tuhuma nyingi amabazo zimekuwa zikielekezwa kwako nawewe kukaa kimya bila ya kujibu lolote inatutia mashaka wananchi wenzako. Madai ambayo yanatolewa juu yako ni mengi muno...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa kuwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere alichukia sana rushwa na ufisadi, na kwa kuwa mafisadi hawa walijua wazi msimamo huo wa mwalimu na wamefanya ufisadi huu baada ya kifo cha mwalimu, na kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani tumepiga siasa za kutosha na mara nyingi tumekuwa tukitupia lawama utawala kitu ambacho ni sahihi tu kama pia wananchi nasi tunamikakati endelevu. sisi wananchi pia kwa namna moja ama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mh. Pinda unayajua haya? Kuna hatua zimechukuliwa au hadi iundwe tume nyingine kuchunguza? Inapofikia polisi tunaowatarajia kutulinda wanaua watoto wetu? Tunasuburi kuona waliohusika...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Govt says it needs time to reclaim its houses 2008-05-03 09:39:52 By Judica Tarimo, Dodoma The government is already working on a plan to take back state-owned houses which were sold...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana jf mimi na kama wana jf wengine tuishio nje ya nchi ni mara nyingi sana tunategemea haya magazeti yanayopatikana online katika kupata news na mambo yanayojiri nyumbani,na katika yote...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nauliza hivi mimi nikiona picha nyingi za uwanja wa taifa watu wengi waliohudhuria wamevaa tisheti zenye ujumbe husika wa siku hiyo, hata rais na wageni rasmi wanavaa hizo hizo, je ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF Jamani nimeulizwa na msafiri mtarajiwa kuhusu swala la uzito wa 'checked in' na 'hand laggage' kwa flights za British Airways. Hii ni kwa sababu kwenye website ya BA kuna maelezo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mamlaka ya maji safi na maji taka (DAWASCO) sasa inachungulia kaburi. Kampuni hii sasa imefikia hatua ya kushindwa kununua mafuta ya magari kwa ajili ya shughuli zake za kawaida za kila siku.Leo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taylor 'had billions' in US bank Liberia's ex-President Charles Taylor had about $5bn in two US bank accounts during his presidency, his chief prosecutor has told the BBC. Mr Taylor is being...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Sioni sababu yoyote ya muhimu ya kuuendesha Uwanja wetu wa Kimataifa kwa ubia na kampuni toka China. Posted Date::4/28/2008 Uwanja wa ndege kukodishwa Wachina *Ni ule wa Kimataifa wa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa nini mnakubali chama chenu kuchafuliwa na kukejeliwa kama ni Chama Cha Mafisadi. Je, katika kanuni zenu hakuna kanuni (au kipengele cha katiba yenu) inayosimamia integrity wa wanachama wenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Legislator appeals for wise vote casting 2008-05-04 10:00:24 By Cynthia Mwilolezi, PST, Arusha Karatu Parliamentarian Dr Wilbroad Slaa has appealed to Tanzanians to exercise extra care...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PAYING A HEAVY PRICE: Kanana Benedicto, one of the villagers living around the Geita gold mine in Mwanza region, says the skin on his face and back became damaged and started to peel away, after...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Studies of human mitochondrial (mt) DNA genomes demonstrate that the root of the human phylogenetic tree occurs in Africa. Although 2 mtDNA lineages with an African origin (haplogroups M and N)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
While Arab propaganda sources bemoan what they term the “Nakba,” i.e., “catastrophe” of 1948, they seldom lay blame for their troubles on their own Arab leaders who are responsible for the lion’s...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nazungumza kwa masikitiko makubwa. Ninasononeka. Ninaandika nikilia. Navuta machozi nikitafakari pepo mchafu anawasumbua watawala wetu. Hakuna asiyetambua kuwa nchi yetu inayumba. Nchi imekosa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Change of mindset key to Africa`s progress 2008-05-02 09:25:04 (Guardian) By Bilham Kimati Making the people of African believe that the continent is prosperous and there is no...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Posted Date::5/3/2008 Serikali yakwama kukusanya madeni,kampuni bandia zilikopa Na Jackson Odoyo Mwananchi SERIKALI imegonga mwamba kukusanya dola za Marekani 180 milioni (Sh 207 bilioni)...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom