Sijui maana ya instagram

Sijui maana ya instagram

Mgeni wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
1,233
Reaction score
1,296
Wadau nisaidieni hi naona ni tofauti na facebook ambayo ukijisajili unaweza ukawaona ndugu, rafik ambao umesoma nao tangu darasa la kwanza.

Kiukweli fb ni mkombozi wa jamaa na ndugu mliopoteana. Mara nyingne nimechunguza fb hata kama mtu mmepishana tu barabarani mkasalimiana ukiingia unaweza kumkuta tayari yupo kwenye page yako anakusubiri umuadd. Vp hii instagram siielewi au ni usanii tu? Na nimechunguza sioni kama viongozi wanaitumia. Zaid ni wasanii wa nje na wa ndani.
Nisaidieni malengo yake ni nini? Ahsanteni
 
Back
Top Bottom