Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kipindi kalizuka kaujumbe fulani kwenye E-mails za watu kuwa bimdada fulani anajitambulisha yeye ni muivory coast na amekimbia machafuko nchini kwao na wazai wake wameuliwa lakini baba yake...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Guys nimejalibu kupitia hii ya kupata nimekuta Gari zenye hali nzuri kimuonekano na plate number c &d ,bei ni reasonable .but sijawahi kununua kitu kupitia hii app,please aliwahi kukunua kupitia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu ni nguli maarufu sana na ni mfanya biashara ni zaidi ya miaka 6 au 7 tatu apotee na hadi sasa hajulikani aliko na sijawahi kusikia habari zake kama yuu hai au alishatangulia mbele za haki na...
2 Reactions
36 Replies
12K Views
Juliana Shonza Naibu waziri wa Habari na Utamaduni amegeuka kuwa msemaji na mtendaji wa BASATA kama alivyoonekana jana akitangaza "tumemfungia" Roma Mkatoliki miezi sita asifanye kazi yeyote...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Natabiri kwamba kati ya Mwisho wa mwezi huu au mwezi ujao, Tundu Lissu ataita media na kuzungumza Mambo mazito ikiwa kama technique ya kuziteka hisia za watu na kuhamasisha maandamano. Sina...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Siku tisa baada ya Kamishna wa Operesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Luteni Kanali Federick Milanzi kuwataja vigogo wanne wanaotuhumiwa kwa kufanya...
2 Reactions
133 Replies
17K Views
Nasema ni ulimbukeni yes ni ulimbukeni haswa, kumekua na kasumba flani hivi mwanamke yeyote mwenye makalio makubwa kujiona yeye ndio mrembo na wala huna la kumwambia. Hii kasumba sijui ni nani...
8 Reactions
81 Replies
12K Views
Supu ya pweza ni kichocheo ama energizer ya kushawishi watu kujamiiana hata kama hutaki kufanya mapenzi. Kwa sisi wenyeji wa mikoa ya Pwani tunajua madhara ya hii kitu hasa kwa watoto wetu wa...
2 Reactions
45 Replies
21K Views
Utajiitaje Msomi wakati huna pesa na mambo madogo madogo yanakushinda kutatua tena at family level? Usomi wako unakuwa hauna maana! Kwanza siku hizi Watanzania hawana interest ya kujua usomi wa...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina matatizo ya mwanangu alikataa kunyoa. Shule ya sekondari aliyokuwa akisoma walimu wa nidhamu wameniita maana imefikia mpaka walimtenga mwanafuzi kumfundisha na akafanya vibaya sana kwenye...
1 Reactions
171 Replies
13K Views
"Hata sijui nilipata wapi ujasiri wa kupenya katikati ya watu hadi kufika kule mbele, ingawa kulikuwa na ulinzi mkali lakini nilifanikiwa na kupata sehemu japo ya kusimama na kumsikiliza Waziri...
12 Reactions
28 Replies
5K Views
Binafsi nilianza kuifahamu Jamii forums tokea enzi ile inaitwa jambo forums, ingawa kwa muda wote huo mpaka kufikia 2012 nilikuwa msomaji tu. Baada ya kuwa na account rasmi, niliendelea kuangalia...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Hapa nimekuwekea takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa kutoka World Population Prospects mwaka jana 2017 zikionyesha makadirio ya idadi ya watu katika nchi husika. China inaongoza kwa kuwa na...
1 Reactions
21 Replies
50K Views
Karume stands by daughter in land row Send to a friend Sunday, 02 January 2011 09:11 digg By Salma Said, Zanzibar The retired Zanzibar President, Amani Abeid Karume has defended her daughter’s...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamvii... Kwanza ni declare inerest kuwa mimi ni msomaji na mfatiliaji wa Makala na Post mbalimbali za huyu mwanadada, nimekuwa nikiona mara nyingi anavyoikosoa serikali pia namna...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
MFANYAKAZI wa ndani (hausigeli) aliyefa-hamika kwa jina la Katalina John anayefanya kazi hizo kwa Lyina John (30) mkazi wa Mhongolo wilayani Kahama, mkoani Shinyanga amejikuta akichezea kichapo...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo. Ni kama vile Sijali, na...
54 Reactions
223 Replies
21K Views
Gari bovu linachefua usiombe msiwaone watu wako barabarani wanavumilia mkazani wanafurahia. Usiombe gari iwe inachemsha acha kabisaa stress zake, Mtu anaendesha huku anamawazo hadi analia...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Miaka ya huko nyuma nilikuwa nikiwachukia sana ' Madikteta ' akina Idi Amin Dada wa Uganda na mwenzake Charles Taylor wa Liberia bila kumsahau Kiongozi wao Mkuu Adolf Hitler wa Ujerumani kwa yale...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Speed imekuwa kubwa sana kwa bodi ya mikopo kukusanya madeni hasa kwa kuwahusisha waajiri mbalimbali. Nimekuwa nikijiuliza, hivi mbona sioni harakati za kuwabana wale ambao wamejiajiri wenyewe, ...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom