Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NA GERALD KITALIMA Mkuu wa wilaya ya Muleba Mhandisi Richard Ruyango ameliagiza jeshi la polisi katika wilaya hiyo kumkamata na kumfikisha mahakamani Mganga wa zahanati ya Kibanga wilayani humo...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Siyo Siri tokea nianze kumfuatilia Mange Kimambi nilikuwa kama vile namwona ' hamnazo fulani ' vile ila na Mimi nilipoamua kukituliza rasmi ' Kichwa ' changu, kumtafakari na kuyapima kwa marefu na...
64 Reactions
217 Replies
16K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Mara baada ya iliyokua CDA kuvunjwa na Rais Maguli, suala la kupanga matumizi ya ardhi na usimamizi iliachiwa halmashauri. Utendaji wa kitengo hiki hasa utunzaji wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana nilibahabika kuangalia usaili huu wa Vijana wetu kupitia klabu hii. Vijana wengi waliojitokeza ni wa kidato cha nne na ninatumaini hawana shughuli maalum za kufanya. Asilimia 90% ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmeona tangazo la leo la NECTA? Maswali ya mtihani wa darasa la 7 yameshushwa kutoka 50 hadi 45 kwa somo na kati yake 40 ni "Multiple choice"..... kwa hiyo almost mtihani mzima ni mwendo wa kuinua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*FURSA FURSA FURSA* *HII NI FURSA KWA AJILI YAKO WEWE MJASILIAMALI UNAYEPENDA MABADILIKO YA KIUCHUMI* *TIMU YETU KWA SASA KWA KUTAMBUA MAHITAJI YA UPUNGUFU WA YA UJASILIAMALI KUHUSU...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Baada ya watumishi waliokuwa na Elimu ya darasa la saba "kutimuliwa mbali" Zilitoka nafasi za watendaji wa Kata, Vijiji, na mtaa huku Mkoani kwetu na moja ya sifa zilikuwa Elimu isiyopungua form...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi. 2.Tembo anaukubwa wa tani 7 3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2 4.Tembo mtoto huzaliwa...
2 Reactions
306 Replies
77K Views
Habari wajuvi Wa kunyanyambua na kudadavua! Tangu serikali hii ianze kazi, imekuwa na utaratibu Wa kuwa na kigugumizi katika utoaji Wa taarifa za magonjwa ya milipuko, Mtakumbuka Taasisi nyingi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HABARI, Kwa taarifa hizi zilizoandikwa kwenye magazeti sio za kubezwa ila ni vitisho tu na vita inayoendelea hasa vya watu wasiopenda maendeleo ya sasa ya taifa letu.Kama ni kushinikiza kazi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama zamani wakati unakuwa uliwahi kuwaza kumtumikia Mungu, lakini badae ukapiga kona kwenye maisha mengine leo nina ujumbe wako; Watu wengi wamedanganywa sana na shetani kupitia kiwanja cha...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Za zamani zimebomolewa, mpya sifahamu ziliko. Ukiweza weka na ramani(eg google) kabisa ili nipapate kwa urahisi (mimi sio mwenyeji)
0 Reactions
4 Replies
4K Views
In the Book of Genesis of the Hebrew Bible, chapters one through five, there are two creation narratives with two distinct perspectives. In the first, Adam and Eve are not mentioned (at least not...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waziri wa sheria na Katiba Prof Paramagamba Kabudi akizindua Mpango wa usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa mkoa wa Simuyu na Mara kwa watoto wa miaka mitano. Hivi karibuni Waziri wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau habari, Baada ya Kazi ngumu,nimeona nikapumzike Mji Kasoro bahari! Je ni hotel gani Nzuri na ya kisasa Ambayo Ina Range 50,000-100,000 Mkoani Morogoro?
1 Reactions
78 Replies
13K Views
Nimeota nimepata msichana, akanipeleka kwenye synagogue, Huko nikanyweshwa maji ya zamzam Na kulishwa manyama. Naomba mnisaidie kujua maana yake. 1. Nataka nijue maana ya kupata msichana ndotoni...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
WATU watatu wamenusurika kifo mjini Morogoro baada ya kutokea ajali mbaya ya lori la mizigo, (Semi Trailer) ambalo dereva wake ameshindwa kulimudu na kuparamia duka la dawa za binadamu. Hali...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Do you want to study in Australia,China,USA,UK,Canada,India,South Africa etc?? Do you want to have Diploma, degree,Masters,PhD via ONLINE LEARNING mode within your country without getting to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido ya hospitali ambayo alikuwa anawahishwa kwenda kujifungua. Mtoto huyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama jinsi alivyolitibua kwenye sukari na kudai anataka kushusha bei matokeo yake ikapanda na hadi leo chai ni anasa hata ukienda kwa mama ntilie hakuna ule uhuru wa sukari kukaa kwenye kikombe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom