Guys nimejalibu kupitia hii ya kupata nimekuta Gari zenye hali nzuri kimuonekano na plate number c &d ,bei ni reasonable .but sijawahi kununua kitu kupitia hii app,please aliwahi kukunua kupitia kupatana app naomba ushauri..jeh ninunue Gari kupitia kupatana app??