Utabiri: Tundu Lissu atazungumza Mambo mazito kabla ya tar 26/4/2018

pipi mti

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
764
513
Natabiri kwamba kati ya Mwisho wa mwezi huu au mwezi ujao, Tundu Lissu ataita media na kuzungumza Mambo mazito ikiwa kama technique ya kuziteka hisia za watu na kuhamasisha maandamano.

Sina ushahidi wala sijasikia tetesi na sijui atazungumzia nini, huu ni Utabiri binafsi unaotokana na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania.

NB
Utabiri unaweza ukatokea au usitokee sababu umetokana tu na mawazo yangu binafsi.
 
Muacheni apone....sisi tunajenga Reli ...tunaimarisha biashara...tuko kwenye kilimo ...tunajenga miundombinu ya maji n.k
 
Back
Top Bottom