Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Raia wa Taiwan, Han Chuan (61) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kujibu mashtaka manne ya uhujumu uchumi ikiwamo kukutwa na mapezi ya samaki aina ya papa ndani ya meli ya uvuvi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Itapendeza kama kutakuwa na forum ya kuhusu tamaduni,mila na desituri za makabila yetu ili tuweze kuzijua,kuzienzi na kuzidumisha,hasa ikizingatiwa kuwa zimeanza kupotea kwa kasi kwa sasa. Nyanja...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana wakati Rais Magufuli anaongea na wafanyabiashara na wenye viwanda alitoa nafasi kwa wadau wengi kuongea na hakika wengi waliongea yanayowahusu kuhusu viwanda na biashara zao hasa kero...
11 Reactions
74 Replies
11K Views
1. Yule mtu aliyekuwa anaiibia serikali Shs Milioni 7 kila dakika, kesi yake ilifunguliwa kwenye mahakama gani? 2. Vile vichwa vya treni vilivyosukumwa na maji hadi ufukweni kwenye bandari yetu...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
Watangazaji wengi wamekuwa wakimuuliza Mh Aden Rage kuhusu suala lolote likitokea kuhusu mpira wa miguu na mara chache sana Mzee Said Hamad El Maamry wa CAF. Aden Rage ndiyo mtaalam wa sheria za...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeona TFF wakiwapanga marefa wa hapa hapa nyumbani mara zinapocheza mechi za kimataifa kwa Taifa stars,Serengeti Boys,Twiga stars na Ngorongoro heroes hapa nyumbani. Na kumekuwa na maamuzi hao...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Habar za majukumu Ndugu zangu nimepata kidogo fursa ya kwenda kupata elimu kidogo nje ya nchi kwa ufadhiri wa nchi flani hivi lakn sina PASSPORT sasa dhumuni la kuandika Uzi huu nikutaka kujua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hawa ni watumishi wa wilaya Ubungo siku ya jana walipoazimisha siku ya maji dunia na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Ubungo Kisare Makori wakati akitoa nasaha zake
2 Reactions
9 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), imebuni kifaa cha kudhibiti wizi wa magari na pikipiki za abiria maarufu bodaboda, kwa kutumia simu. Kwa kutumia kifaa hicho, dereva atakuwa na...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru mwanamke aliyeteswa na kudhalilishwa wakati wa kujifungua hospitalini alipwe fidia ya jumla ya dola 25,000 za Marekani. Mwanamke huyo alidhalilishwa miaka...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kufuatia Mvua zinazoendelea Kunyesha Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, zimesababisha radi iliyojeruhi Walimu wawili na Wanafunzi 63 katika Shule ya Msingi Kyakailabwa. Mwalimu Mkuu wa hiyo,Mwl...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa wenye ufahamu nimekutana na hili tangazo la hotel ya azam huko kisiwani Zanzibar lina maana gani wanaposema kuwa "operated under islamic principles"? Tafadhali sana sijaleta ili kuanzisha...
6 Reactions
315 Replies
29K Views
*ZIARA YA KUKAGUA NA KUFUATILIA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM MWAKA 2015 – 2020 WILAYA LA KILOSA MKOA WA MOROGORO* 22 March 2018 Akiwa Wilayani Kilosa Jimbo la Mikumi Mkoa wa Morogoro Katibu wa NEC...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The firm works by harvesting personal data from Facebook and social media and then targeting voters with social media posts and online advertisements to influence their opinions. Now ,you know, I...
0 Reactions
3 Replies
851 Views
SIKU mbili baada ya gazeti hili kuripoti taarifa za Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads), mkoani Iringa kushindwa kuhamisha kaburi la Martin Kiyeyeu kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwakweli kama kuna vitu vilivyonichosha mwaka huu ni juu ya hii bodi ya uhasibu ....nikikumbuka hela yangu nilivyoipata Kwa shida na kusoma review classes Kwa tabu Leo mnashindwa kutoa matokeo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nilikua katika mjia mafinga naangalia mechi kati ya Majimaji ya songea wana lizombi na timu ya kurugenzi mafinga. Kilichonsikitisha sana kama mdau nuliesafiri toka songea ni uwanja huo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wauguzi 9 kufikishwa mahakamani Mafinga Tuesday , 9th Feb , 2016 Halmashauri ya mji wa Mafinga imepanga kuwafikisha mahakamani watumishi 9 wa hospitali ya wilaya ya Mufindi wanaodaiwa kufanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pengine ulikuwa haufahamu ila ni kwamba matundu ya pua hupokezana kupumua kila baada ya dakika kumi
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom