Dr Mariana Njelekela wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) akichangia damu salama katika hospitali ya mkoa wa Lindi Sokoine walipoenda kutoa huduma za bure za uchunguzi wa saratani ya...
Wakati Jana jumapili ya Tarehe 28.08.2016 waumini wa KKKT Mtwara wakiandamana kabla ya Ibada kushinikiza Mkuu wa Kanisa Dr. Shoo kupeleka timu ya wachunguzi watakaoshirikiana na vyombo vya...
Wafanyakazi wanne wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamesimamishwa kazi na mweka hazina wa hospitali ya machame amefukuzwa kazi kwa tuhuma mbili tofauti za wizi wa kuaminika wa...
Wakuu habari.
Leo katika pita pita zangu huko you tube nimekutana na video inayomuonesha Askofu Gwajima akitoa utabiri/prophecy kuhusu mwaka 2018 katika kanisa lake.Na kati ya vitu alivyozungumza...
Hii ni Channel mpya nasikia inaanza rasmi April, wanahitaji watu wawatumie videos za matukio mbalimbali nao watazirusha bure kabisa. Haya sasa ngoja tuwasubiri tuone
Najua wengi mnafahamu hizi kampuni zinazosimamiwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Dr. Mengi, hii kampuni kwa waislam na wasabato kupata kazi ni vigumu sana iwe hata kazi ndogo ndogo. Imefikia hatua...
Takwimu za kifua kikuu au TB zimenishtua kidogo hasa wagonjwa wa TB wanaogundulika katika vituo vya kutolea huduma hapa nchini kuwa ni asilimia 40 tu na asilimia 60 wapo mitaani,shuleni...
WANANCHI WOOOTE LEOO WAMESHUKA MTO KAWE KUMLALAMIKIA DIWANI MUTA KWA UPUUZI UNAOENDELEAAA
YALIOONGELEWA KWA KWELI N KWAMBA VILE VIJIKO KULE.MTONI N VYA WATU WANENEE TOFAUTI NA TULIVYOFIKIRIAA...
Nyanya sasa ni dili. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na bei ya bidhaa hiyo kutoshikika huku mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zikitajwa kuwa chanzo cha kuadimika huko.
Bei...
Leo kuna Watu ambao lugha jamii kwao ni tatizo,Kiingereza kina ukakasi,Kiswahili nacho wanababaisha najiuliza tutakuwa Watu gani sisi?
Kumekuwa na harakati nyingi zinazokwamishwa kwa makusudi za...
Umewahi kusikia kuhusu mmea unaokula nyama? Kuna aina kadha za mimea duniani ambayo huwanasa na kuwala wanyama na wadudu. Moja ni mmea kwa jina Venus Flytrap ambao hupatikana Carolina Kaskazini na...
Naomba tuwakane sawa wakuu napata kigugumizi sana hasa katika suala zima la uchumi wa nchi yetu,kigugumizi icho kinanifanya nijiulize swali moja japo kwako ni dogo lakini kwangu ni kubwa:
SWALI:JE...
Hivi ni kweli watanzania huwa tunakosa Commonwealth Scholarship?
Nimetumia muda wangu na pesa zangu nyingi kuapply commonwealth Scholarship, ambazo zilitangazwa na TCU lakini nmesikitika sana...
Ni takribani siku 6 toka mwananfunzi Abdul Nondo (miaka 24) wa chuo kikuu cha dar es salaam kuokotwa huko Mafinga.
Kwa maelezo aliyotoa Mwigulu Nchemba ni kwamba alijiteka.
Inaonekana kuna...
Usharika wa Karanga wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), umeanza kazi ya kukusanya vitabu vya taarifa ya mchungaji kiongozi wao, Fred Njama.
Vitabu hivyo...
Habari wakuu,
Kwa wakazi manispaa ya Iringa, kuna ajali mbaya imetokea maeneo ya Ndiuka kwenye filter ya maji ya Iruwasa.
Gari namba T 891 BSR Hiace, ilikuwa inotoka Iringa kueleke Lugalo...
Habari wakuu,
Kuna ajali imetokea Misigiri njia ya Singida. Lori imekosa breki na kutumbukia mtoni. Umetokea moto mkubwa sana. Hijajulikana kama kuna vifo.
Habari zaidi stay tuned...
Hii picha...
Watumishi wenye elimu ya darasa la saba walio ajiliwa kabla ya mwaka 2004 nao wameondolewa rasmi katika mtumishi wa uma, awali katibu mkuu mtumishi alisema kuwa hawataondoa watumishi walioajiliwa...
Serikali imepiga marufuku kwa makampuni ya ndani /kigeni (binafsi) kununua na kukusanya zao la Kahawa Tanzania, kazi hiyo vimepewa vyama vya ushirika tu.Nia ya Serikali ni kuimarisha ushirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.