Magari mabovu yanachefua sana acha kabisa usiombe! Hata baadhi ya trafiki hutuhurumia

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Gari bovu linachefua usiombe msiwaone watu wako barabarani wanavumilia mkazani wanafurahia.

Usiombe gari iwe inachemsha acha kabisaa stress zake, Mtu anaendesha huku anamawazo hadi analia kimoyomoyo,huku pembeni ana kidumu cha Maji ya kupoza rejeta kila baada ya mda anajaza maji,

mbaya zaidi AC haifanyi kazi joto lake humo huwa linavuruga ubongo siyo kawaida!
Sasa fikiria vitasa navyo viwe vibovu hapo ndipo inatia hasira zaidi acha kabisa, utapita sehemu za mashimo shock up zinagonga utazani umebeba vijiko kwenye buti!
Hata hao trafiki baadhi ya magari huko barabani huwa wanayahurumia!

Unakuta mtu anaendesha gari kalowa chepe chepe Kwa jasho, vioo havipandi wala kushuka kumuandikia ni sawa na kumpa adhabu Mara mbili!
Magari mabovu yanachefua nyie acheni kabisa!!!!!!!!!!!!
Ukiwa na gari bovu hata mda wa kuongea na mtoto mzuri pembeni huwa haupo kabisaa!..
 
Wakati unawaza hivi unasoma nyuma hio gari imeandika 'BABA YAKO ANALO?'
 
hiyo ya engine kuchemsha sitaisahau.. unatamani uuze kabisa gari ni kero mnoo
 
Mkuu kuna hii ya betri kugona kupiga asubuhi....duu ni majanga....alafu ukiangalia salio la wallet ipo pesa ya kula tuu mpaka mwisho wa mwezi....hujakaa vizuri taili nalo limeanza pancha....hakuna kitu kinauzi kama umeamka asubuhi kumi na mbili kamili unatoka then unakuta flat tire....duu.....tatizo wabongo wabishi unagari lakini kipato kidogo.....mh
 
Noma sana
 
Back
Top Bottom