Ulimbukeni, wanawake wa kitanzania kuamini katika makalio

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Nasema ni ulimbukeni yes ni ulimbukeni haswa, kumekua na kasumba flani hivi mwanamke yeyote mwenye makalio makubwa kujiona yeye ndio mrembo na wala huna la kumwambia.

Hii kasumba sijui ni nani aliingiza Bongo kwakweli hawa wanaawake ukikutana nao basi hata salamu yako hawapokei.

Binafsi sijaelewa na bado naendelea kutokuelewa hii kasumba iliibuka wapi na nini hasa matumizi ya hivyo wanavyodhania ni urembo kwao.

Naona ni uhaba wa expolosure, wanaweke warembo ni wanawake slim.

Mwanamke ambaye hata akuzalie watoto 12 still utamwona kama siku ile ya kwanza ulivyomtongoza. (Hawa ndio wanawake warembo)

Nyie wanaawake wenye makalio pungezeni ushamba na mjitahidi kufanya mazoezi, dunia ya nje haihitaji makalio yenu.

Nimemaliza.
 
Hii kasumba ni wanaume ndo wameiingiza bongo,maana wao hata mwanamke akikatiza mbele yao wanaangalia wowowo.
Hata humu pia comments zao ni kuuliza kama chura ipo,kwa hiyo wanaume ndo chanzo cha wanawake kujiona wazuri wakiwa na wowowo,wanaume ndo chanzo cha wanawake kupata madhara baada ya kuongeza wowowo
 
Nahisi ulimbukeni huu upo kwetu sisi wanaume kukodolea misambwanda yao!!! Maana wanawake hufanya tunayopenda siye! Kwahiyo siku tukipenda wavaa hijabu naiman wote watavaa, tukipenda FLAT pia wote watakuwa,
Kwahiyo wanaume siye ndiyo tunapenda wao wanatekeleza tu,
Tuwalaumu Kwa mengine lakini Kwa hili tujilaumu wenyewe.
Note; wapo Kwa ajili ya kutufurahisha siye.
 
Nasema ni ulimbukeni Yes ni ulimbukeni haswa, kumekua na kasumba flani hivi mwanamke yeyote mwenye makalio makubwa kujiona yeye ndio mrembo na wala huna la kumwambia, hii kasumba sijui ni nani aliingiza Bongo kwakweli , hawa wanaawake ukikutana nao basi hata salamu yako hawapokei.
Binafsi sijaelewa na bado naendelea kutokueleewa hii kasumba iliibuka wapi na nini hasa matumizi ya hivyo wanavyodhania ni urembo kwao
Naona ni Uhaba wa Expolosure , Wanaweke warembo ni wanawake Slim . Mwanamke ambaye hata akuzalie watoto 12 Still utamwona kama siku ile ya kwanza ulivyomtongoza . (Hawa ndio wanawake warembo)
Nyie wanaawake wenye Makalio pungezeni ushamba,na mjitahidi kufanya mazoezi, dunia ya nje haiitaji makalio yenu.

Nimemaliza.

Binafsi inaniudhi mno, utakuta demu wala si mzuri na wala hata akikupa bure huwezi piga ila ana mashauzi utazani yeye ni malaika. Sijuwi mademu wa kibongo hawajuwi kuwa si kila mwanamme ni chizi?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Si kila mwanaume ni Chizi.....nimeipendaa
 
Nahisi ulimbukeni huu upo kwetu sisi wanaume kukodolea misambwanda yao!!! Maana wanawake hufanya tunayopenda siye! Kwahiyo siku tukipenda wavaa hijabu naiman wote watavaa, tukipenda FLAT pia wote watakuwa,
Kwahiyo wanaume siye ndiyo tunapenda wao wanatekeleza tu,
Tuwalaumu Kwa mengine lakini Kwa hili tujilaumu wenyewe.
Note; wapo Kwa ajili ya kutufurahisha siye.
Basi tuanzee kupenda kucha ... tuwabadilishie muelekeo.
 
Hii kasumba ni wanaume ndo wameiingiza bongo,maana wao hata mwanamke akikatiza mbele yao wanaangalia wowowo.
Hata humu pia comments zao ni kuuliza kama chura ipo,kwa hiyo wanaume ndo chanzo cha wanawake kujiona wazuri wakiwa na wowowo,wanaume ndo chanzo cha wanawake kupata madhara baada ya kuongeza wowowo
Kama nyie mnavyowatesa wanaume kisaikolojia na kauli zenu za kibamia
 
Nasema ni ulimbukeni Yes ni ulimbukeni haswa, kumekua na kasumba flani hivi mwanamke yeyote mwenye makalio makubwa kujiona yeye ndio mrembo na wala huna la kumwambia, hii kasumba sijui ni nani aliingiza Bongo kwakweli , hawa wanaawake ukikutana nao basi hata salamu yako hawapokei.
Binafsi sijaelewa na bado naendelea kutokueleewa hii kasumba iliibuka wapi na nini hasa matumizi ya hivyo wanavyodhania ni urembo kwao
Naona ni Uhaba wa Expolosure , Wanaweke warembo ni wanawake Slim . Mwanamke ambaye hata akuzalie watoto 12 Still utamwona kama siku ile ya kwanza ulivyomtongoza . (Hawa ndio wanawake warembo)
Nyie wanaawake wenye Makalio pungezeni ushamba,na mjitahidi kufanya mazoezi, dunia ya nje haiitaji makalio yenu.

Nimemaliza.
mzee pole na kukataliwa na mwenye msambwanda
 
Hii kasumba ni wanaume ndo wameiingiza bongo,maana wao hata mwanamke akikatiza mbele yao wanaangalia wowowo.
Hata humu pia comments zao ni kuuliza kama chura ipo,kwa hiyo wanaume ndo chanzo cha wanawake kujiona wazuri wakiwa na wowowo,wanaume ndo chanzo cha wanawake kupata madhara baada ya kuongeza wowowo
Chura ipo ????
 
Dah.

Wangepokea salamu yako usingewachana.

Maneno ya mkosaji.😀😀
 
Back
Top Bottom